MANCHESTER UNITED YANASA MTAMBO WA MABAO

MICHEZO Manchester United wameulizia upatikanaji wa Mshambuliaji wa Stuttgart. Sehrou Guirassy katika juhudi za kuimarisha safu yao ya ushambuliaji mwezi Januari. GUIRASSY anaepatikana kwa takribani paundi milioni 17, amezivutia timu nyingi Barani Ulaya baada ya kuweka nyavuni mabao 16 akiwa nyuma ya Harry Kane mwenye mabao 18 ,msimu huu na kuisaidia klabu yake kusimama kwenye… Continue reading MANCHESTER UNITED YANASA MTAMBO WA MABAO

HAALAND APEWA ADHABU KWA KUKASHIFU

MICHEZO Mchezaji wa Manchester City, Erling Haaland huenda akaadhibiwa na chama cha soka England baada ya kumkashifu mwamuzi Simon Hooper kufuatia sare ya 3-3 dhidi ya Tottenham Hotspurs ,siku ya jumapili, Desemba 3. Haaland alicharuka baada ya Hooper kusitisha maamuzi ya faida kwa Jack Grealish kuwa sehemu sahihi huku wachezaji wenzake wakipata mshangao. Baada ya… Continue reading HAALAND APEWA ADHABU KWA KUKASHIFU

WAN BISSAKA KUITUMIKIA DRC

MICHEZO Beki wa Manchester United, Aaron Wan-Bissaka ,amefuatwa na timu ya taifa ya Congo ili kuwa sehemu ya kikosi kitakachowak8lisha taifa kwenye mashindano ya AFRICON 2024. Inasemekana beki huyo mwenye uraia wa nchi mbili ,anafikiria kukubali kujiunga na timu hiyo. Wan Bissaka hajawahi kuitumikia timu ya taifa ya England ya wakubwa hivyo anaruhusiwa kuitumikia DR… Continue reading WAN BISSAKA KUITUMIKIA DRC

MANCHESTER UNITED KUIKOSA UEFA

MICHEZO Huenda Manchester United wakashindwa kushiriki kwenye michuano ya ligi ya Mabingwa Ulaya msimu ujao ,ikiwa watamaliza chini ya klabu ya OGC Nice ya Ufaransa, baada ya Sir Jim Ratcliffe kunyakua 25% za umiliki wa klabu hiyo. Ugumu huo unasababishwa na umiliki wa Sir Jim Ratcliffe na Ineos Group ambao pia wanamiliki klabu ya Nice… Continue reading MANCHESTER UNITED KUIKOSA UEFA

VARANE NA ERIC TEN HAG NGOMA NZITO MANCHESTER UNITED

MICHEZO Kocha wa Manchester United, Eric Ten Hag ametupilia mbali ripoti kuwa kuna tatizo kati yake na beki wake Raphael Varane na kusisitiza kwamba kukaa kwake benchi ni kutokana na kiwango bora kinachoonyeshwa na Harry Maguire katika mechi za hivi karibuni. “-Hakuna shida ,sina tatizo na Varane. Ni kuhusu sababu za kimbinu kwa nini nilichangua… Continue reading VARANE NA ERIC TEN HAG NGOMA NZITO MANCHESTER UNITED

Please disable your adblocker or whitelist this site!

         banner