FC BARCELONA KUMUUZA ANSU FATI

MICHEZO Klabu Bingwa nchini Hispania FC Barcelona imesema inatarajia kumuuza mchezaji wake Ansu Fati mwishoni mwa msimu huu. Mchezaji huyo mwenye umri wa miaka 21 anayekipiga kwa mkopo katika timu ya Brighton ya nchini England, atauzwa mwishoni mwa msimu huu kwenda timu watakayofikia mwafaka. Taarifa iliyotolewa katika mtandao wa klabu ya Barcelona, ilisema kuwa wanatarajia… Continue reading FC BARCELONA KUMUUZA ANSU FATI

ELON MUSK KUWALIPA WAFANYAKAZI WA TWITTER

HABARI KUU Watendaji Wakuu wa Mtandao wa X (zamani Twitter) ambao walifukuzwa kazi baada ya Elon Musk kuununua Mtandao huo, wamefungua Kesi ya madai wakimtaka Bosi huyo mpya kuwalipa zaidi ya Tsh. Bilioni 326 kwa kuwaondoa kazini kikatili. Kesi hiyo imefunguliwa katika Mahakama ya Wilaya ya San Francisco walalamikaji wakiwa ni aliyekuwa Mtendaji Mkuu wa… Continue reading ELON MUSK KUWALIPA WAFANYAKAZI WA TWITTER

TWIGA STARS YAFUZU KUCHEZA WAFCON 2024

MICHEZO Timu ya soka ya wanawake ya Twiga Stars imefuzu michuano ya Afrika kwa wanawake WAFCON inayotarajiwa kupigwa nchini Morocco. Twiga imepata mafanikio hayo licha ya kufungwa 2-0 na Timu ya wanawake ya Togo katika mchezo wa marudiano lakini pamoja na ushindi wa Togo ,Twiga Stars imekuwa na ushindi wa jumla wa 3-2. Twiga Stars… Continue reading TWIGA STARS YAFUZU KUCHEZA WAFCON 2024

Please disable your adblocker or whitelist this site!

         banner