WANAUME WENGI HAWAPENDI KUOMBWA HELA DiscoverCars.com

NYOTA

Muigizaji wa muda mrefu nchini ,Wema Sepetu amefunguka wazi na kuelezea kuwa wanaume wengi hawapendi tabia za wapenzi wao kuwaomba pesa kwa kusudi la kupima upendo wao wa kweli.

Kulingana na ,Wema,kumekuwa na tabia nyingi kutoka kwa wanawake kutoamini upendo wa kweli wa wapenzi wao jambo ambalo wameiweka kasumba ya kuitisha wanaume wao hela ovyo ovyo ili kutambua iwapo wanapendwa.

(more…)

Loading

Continue ReadingWANAUME WENGI HAWAPENDI KUOMBWA HELA DiscoverCars.com