SABABU ZA DIAMOND PLATINUMZ KUKATAA SHOW ZA NIGERIA
NYOTA WETU Diamond Platnumz amesema shoo za Nigeria anazikataa mara kibaio, kwa sababu wanajua ukubwa wake ila wanachukulia poa. "Unajua mimi sijafanya shoo Nigeria muda mrefu kwa sababu wana tabia…