JINSI YA KULINDA AFYA YAKO BILA YA KUTUMIA DAWA

MAGAZETI Karibu Mtanzania popote pale ulipo kwenye asubuhi ya leo kwenye mbao za magazeti ya hivi leo popote pale ulipo kwenye Jamhuri yetu tukufu ya Tanzania.

Kitisho cha Ziwa VICTORIA kuumeza Mkoa Kagera

HABARI KUU Mkazi wa Manispaa ya Bukoba Mzee Pius Ngeze (70), amesema anahofia balaa kubwa kutokea katika Mkoa huo kumezwa na ziwa Victoria, kutokana na kukosekana kwa mikakati mahsusi wala uchunguzi, ili kubaini kwanini Tetemeko, Mafuriko na majanga mengine yanatokea mara kwa mara na kusababisha athari kwenye jamii. Ngeze ambaye pia ni mmoja wa Wazee… Continue reading Kitisho cha Ziwa VICTORIA kuumeza Mkoa Kagera

Mwenyekiti UVCCM Kagera ashinikizwa kujiuzulu kisa hiki

HABARI KUU VIJANA wa Chama cha Mapinduzi Mkoa wa Kagera wamemtaka Mwenyekiti wa UVCCM, Mkoa huo Faris Buruhan kuomba radhi au kujiuzulu kwenye nafasi yake kwa matamshi yake ya hivi karibuni kutaka kuwapoteza watu wanaotukana Viongozi Mitandaoni. Faris alitoa kauli hiyo hivi karibuni akiwa kwenye ziara katika Mji mdogo wa Rulenge Wilayani ya Ngara mkoani… Continue reading Mwenyekiti UVCCM Kagera ashinikizwa kujiuzulu kisa hiki

RAIS SAMIA ATANGAZA NEEMA KWA WABUNIFU NCHINI

SIASA Wizara ya Nishati imetakiwa kuwatafuta Watanzania Wabunifu wa teknolojia, ili waweze kufanikisha mpango wa matumizi ya gesi ya kupikia kwa kulipia kadri unavyotumia. Wito huo umetolewa na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan wakati akiuzindua Mkakati wa Taifa wa nishati safi ya kupikia wa mwaka 2024 Jijini Dar es… Continue reading RAIS SAMIA ATANGAZA NEEMA KWA WABUNIFU NCHINI

YUSUF MANJI AFUNGUKA DILI LA KUTAKA KURUDI YOUNG AFRICANS

NYOTA WETU Mwenyekiti na Mfadhili wa zamani wa Young Africans, Yusuf Manji amesema kwa sasa hafikirii kurejea ndani ya klabu hiyo ingawa anafurahia kuona imekuwa na umoja na mshikamano wa hali ya juu. Manji amesema kwa sasa umri wake unambana kujiweka karibu na timu hiyo na soka kwa ujumla, hivyo anaendelea kujishughulisha na mambo mengine.… Continue reading YUSUF MANJI AFUNGUKA DILI LA KUTAKA KURUDI YOUNG AFRICANS

SABABU YA KIFO CHA GADNER HABASH MTANGAZAJI WA CLOUDS MEDIA

NYOTA WETU Mtangazaji maarufu wa kituo cha radio cha Clouds FM, Gadner G. Habash (Captain) amefariki Dunia leo April 20, 2024. Gadner alikuwa amelazwa katika Taasisi ya Moyo ya Jakaya Kikwete (JKCI) Jijini Dar es Salaam kutokana na kusumbuliwa na Pressure . Kupitia kipindi cha JAHAZI Gadner alijizolea umaarufu mkubwa kwa namna yake ya pekee… Continue reading SABABU YA KIFO CHA GADNER HABASH MTANGAZAJI WA CLOUDS MEDIA

MR IBU KUZIKWA JUNI 28

MAGAZETI Karibu Mtanzania popote pale ulipo kwenye asubuhi ya leo kwenye mbao za magazeti ya hivi leo popote pale ulipo kwenye Jamhuri yetu tukufu ya Tanzania.

YANGA YARAMBA MDHAMINI MPYA SILVER GENERAL INVESTMENT

MICHEZO Klabu Bingwa Tanzania Bara Young Africans leo Jumanne (Aprili 16) imeingia mkataba wa mwaka mmoja na kampuni ya Silver General Investment unatoa fursa kwa mashabiki na Wanachama wa timu hiyo kukopeshwa simu na kulipa kwa awamu tofauti. “Mwanachama na Shabiki wa Young Africans ambaye anahitaji kukopeshwa simu anapaswa kutoa kiasi cha Tsh 75,000 na… Continue reading YANGA YARAMBA MDHAMINI MPYA SILVER GENERAL INVESTMENT

COLE PALMER KINARA WA MABAO EPL

MICHEZO Cole Palmer amefunga magoli manne na kuwa mchezaji wa kwanza wa Chelsea kihistoria kufunga kwenye mechi 7 mfululizo za Ligi Kuu England katika dimba la Stamford Bridge. FT: Chelsea 6-0 Everton⚽⚽⚽⚽ Palmer 13′ 18′ 29′ (P) 64′⚽ Jackson 44′⚽ Gilchrist 90′ Palmer amekwea kwenye usukani wa ufungaji bora wa Ligi Kuu England akiwa na… Continue reading COLE PALMER KINARA WA MABAO EPL

PAUL MAKONDA ATEMBELEA MAENEO YALIYOATHIRIWA NA MAFURIKO

HABARI KUU Mkuu wa Mkoa wa Arusha, Paul Makonda ametembelea maeneo ya Jiji la Arusha yaliyoathiriwa na mafuriko yaliyotokana na mvua zinazoendelea kunyesha mkoani humo. Maeneo aliyotembelea ni pamoja na Sakina na Mianzini ambayo yameathirika zaidi na mvua na kusababisha vifo vya watu sira na uharibifu mkubwa wa miundombinu. Akizungumza na wananchi wa maeneo hayo… Continue reading PAUL MAKONDA ATEMBELEA MAENEO YALIYOATHIRIWA NA MAFURIKO

Please disable your adblocker or whitelist this site!

         banner