CRISTIANO RONALDO AWEKA WAZI KUCHEZA KOMBE LA DUNIA 2026

MICHEZO. Klabu ya Al-Nassr Fc ya Saudia Arabia imefungua mazungumzo na nyota wa Ureno ,Cristiano Ronaldo juu ya nyongeza ya mkataba mpya wa kuendelea kusalia klabuni hapo mpaka 2027. Mkataba mpya huo unatarajiwa kuanza Januari 2025 na kutamatika Januari 2027. Hivyo Ronaldo anaweza kupata nafasi ya kushiriki kombe la Dunia 2026 akiwa mchezaji wa Al-Nassr… Continue reading CRISTIANO RONALDO AWEKA WAZI KUCHEZA KOMBE LA DUNIA 2026

Please disable your adblocker or whitelist this site!

         banner