YANGA NA SIMBA KUKUTANA APRIL 20

MICHEZO Mchezo wa Ligi Kuu ya NBC msimu wa 2023/2024 kati Yanga Sc dhidi ya Simba Sc almaarufu ‘Kariakoo Derby’ ambao awali haukupangiwa tarehe kwenye ratiba iliyofanyiwa maboresho na kutangazwa Februari 2024, sasa utachezwa Aprili 20, 2024 kuanzia saa 11:00 jioni katika dimba la Benjamin Mkapa. Taarifa ya bodi ya Ligi Kuu Tanzania (TPLB) imebainisha… Continue reading YANGA NA SIMBA KUKUTANA APRIL 20

TAKWIMU ZA PACOME NA CHAMA KWENYE LIGI KUU TANZANIA NA MABINGWA AFRIKA

MAKALA Takwimu za PACOME na CHAMA kwenye Ligi na Klabu Bingwa Afrika msimu huu:- Kwenye hatua ya makundi ya Ligi ya Mabingwa Afrika msimu huu kiungo wa Yanga Sc, Pacome Zouzoua amefunga magoli matatu na kusaidia (assist) bao moja. Kwa upande wake Mwamba wa Lusaka Clatous Chota Chama amefunga bao moja na ‘assist’ moja. Kwenye… Continue reading TAKWIMU ZA PACOME NA CHAMA KWENYE LIGI KUU TANZANIA NA MABINGWA AFRIKA

AZIZ KI NA YANGA MAMBO YAKO HIVI

NYOTA WETU. Taarifa zilizopo ni kuwa Klabu ya Yanga ya jijini Dar es salaam imemalizana na nyota wake raia wa Burkina Faso 🇧🇫, Stephanie Aziz Ki juu ya kuongeza mkataba mpya wa kusalia kwenye viunga vya Jangwani, Kariakoo. Ikumbukwe mkataba wa Aziz Ki unatamatika mwisho wa msimu huu wa 2023-24 na mpaka sasa ,Stephanie Aziz… Continue reading AZIZ KI NA YANGA MAMBO YAKO HIVI

YANGA KUGAWA SUPU JUMAPILI

MICHEZO Msemaji wa Yanga sc, Ally Shaban Kamwe amewaomba mashabiki wa klabu hiyo, siku ya jumapili asubuhi kila mmoja abebe chapati zake,maandazi,vitumbua aje navyo pale jangwani kwani supu itagawiwa bure. “Jumapili kila mwana Yanga aje na vitumbua vyake,maandazi pamoja chapati yake ,supu tunatoa free na siku hiyo asubuhi wakati supu inapikwa kutakuwa na matembezi kidogo… Continue reading YANGA KUGAWA SUPU JUMAPILI

YANGA WAJA NA STAHILI MPYA YA TANO DiscoverCars.com

MICHEZO Meneja wa habari na mawasiliano wa klabu ya Yanga, Ally Shaban Kamwe amewataka mashabiki wa klabu hiyo kusimama na kuinua mkono mmoja juu Ikafika dakika ya tano ya mchezo kama ishara ya kuonyesha vidole 5 katika mchezo wa kesho dhidi ya Coastal Union ikiwa ni ishara ya kuwapongeza wachezaji wa klabu hiyo kwa kazi… Continue reading YANGA WAJA NA STAHILI MPYA YA TANO DiscoverCars.com

Please disable your adblocker or whitelist this site!

         banner