Aziz Ki hajasaini na sababu ni hizi zipo kwenye hela ya usajili na mshahara

Habari za uhakika ni kwamba Aziz Ki anamaliza mkataba wake mwisho wa msimu huu ambao unaishia rasmi tarehe 3 Juni baada ya fainali ya CRDB BANK CONFEDERATION CUP pale Zanzibar. Ukweli kutoka Yanga kupitia Meneja wa Habari ni kwamba Master Ki hajaongeza mkataba mpaka sasa na kuna ushindani wa vilabu vya nje ya nchi kumtaka… Continue reading Aziz Ki hajasaini na sababu ni hizi zipo kwenye hela ya usajili na mshahara

KOCHA MIGUEL GAMONDI ATAJA ORODHA YA WACHEZAJI WATAKAOACHWA YOUNG AFRICANS

MICHEZO Taarifa kutoka ndani Young Africans ni kwamba kocha mkuu wa timu hiyo, Miguel Gamondi kawasilisha mapema ripoti kwa mabosi wa klabu hiyo ikiwa ni mikakati ya kuanza kukisuka upya kikosi cha msimu ujao. Hesabu za Gamondi zimeonyesha kuhitaji kuongeza kipa mmoja atakayechukua moja ya nafasi ya makipa watatu waliopo sasa akiwamo Djigui Diarra, Metacha… Continue reading KOCHA MIGUEL GAMONDI ATAJA ORODHA YA WACHEZAJI WATAKAOACHWA YOUNG AFRICANS

YANGA YAICHAPA SINGIDA IKIIPA SIMBA MASWALI MAGUMU

MICHEZO Ikicheza mchezo wake wa 21, Yanga imepata ushindi wa magoli 3-0 dhidi ya Singida Fountain Gate katika mchezo wa Ligi Kuu Bara kwenye Uwanja wa CCM Kirumba, Mwanza Magoli yamefungwa na Joseph Guede mawili na Stephene Aziz Ki, hivyo Yanga imefikisha pointi 55, ikiongoza kwa tofauti ya pointi 8 dhidi ya Azam FC inayofuatia… Continue reading YANGA YAICHAPA SINGIDA IKIIPA SIMBA MASWALI MAGUMU

SABABU BENO KAKOLANYA KUIKIMBIA MECHI YA YANGA

MICHEZO Baada ya klabu ya Singida Big Stars kutoa taarifa kuwa, mlinda mlango wake, Beno Kakolanya ametoroka kambini wakati timu ikikabiliwa na mchezo muhimu dhidi ya Yanga Sc, Beno amekanusha taarifa hizo na kusema kamwe hawezi kutoroka kambini. Beno Kakolanya ameeleza kuwa hajatoroka kambini bali alitoa taarifa kwa meneja wa timu na kuruhusiwa. “Nilimpa taarifa… Continue reading SABABU BENO KAKOLANYA KUIKIMBIA MECHI YA YANGA

STEPHANE AZIZ KI ASAINI MKATABA MPYA YANGA KWA SHARTI HILI

MICHEZO Kiungo mshambuliaji wa Yanga SC, Stephane Aziz Ki amesaini mkataba wa miaka (2) kuendelea kuitumikia klabu ya Yanga. Kabla hajasaini mkataba mpya alitoa sharti kuwa, endapo atasalia katika klabu hiyo wamhakikishie kwamba watamleta striker wa maana katika dirisha kubwa. Uongozi wa Yanga umekubali sharti hilo na mchezaji amesaini miaka miwili.

UJUMBE WA MSEMAJI WA SIMBA AHMED ALLY HUU HAPA

NYOTA WETU … 🧠 𝗔𝗨 𝗠𝗜𝗠𝗜 𝗡𝗗𝗜𝗢 𝗦𝗜𝗘𝗟𝗘𝗪𝗜 ? Nimewasikia wachambuzi kadhaa wakisema Simba SC imebakiza points (4) imfikie kinara wa ligi Yanga SC.. Nilidhani labda ni kupitiwa. Baada ya kauli ya Ahmed Ally ndipo nikagundua sio kupitiwa, labda mimi pekee ndio nina msimamo tofauti wa ligi. 1. 👕 20 ⚽ +38 🅿️ 52 —… Continue reading UJUMBE WA MSEMAJI WA SIMBA AHMED ALLY HUU HAPA

UJUMBE WA MSEMAJI WA SIMBA AHMED ALLY HUU HAPA

NYOTA WETU … 🧠 𝗔𝗨 𝗠𝗜𝗠𝗜 𝗡𝗗𝗜𝗢 𝗦𝗜𝗘𝗟𝗘𝗪𝗜 ? Nimewasikia wachambuzi kadhaa wakisema Simba SC imebakiza points (4) imfikie kinara wa ligi Yanga SC.. Nilidhani labda ni kupitiwa. Baada ya kauli ya Ahmed Ally ndipo nikagundua sio kupitiwa, labda mimi pekee ndio nina msimamo tofauti wa ligi. 1. 👕 20 ⚽ +38 🅿️ 52 —… Continue reading UJUMBE WA MSEMAJI WA SIMBA AHMED ALLY HUU HAPA

YOUNG AFRICANS YAMUONYA WAKALA WA MAYELE

MICHEZO Klabu ya Yanga imemwandikia barua ya onyo wakala anaemsimamia Fiston mayele kuwa Mteja wake amekuwa akitumia maneno ya kuichafua brand ya Yanga SC na endapo akiendelea atafunguliwa mashtaka. Mwanamama Jasmine Razack anawasimamia wachezaji kadhaa waliopo na waliopita Yanga ; ◉ Fiston Mayele◉ Feisal Salum◉ Ibrahim Bacca◉ Clement Mzize

MWAMUZI BEIDA DAHANE APATA ULAJI FIFA

MICHEZO Shirikisho la Soka la Kimataifa (FIFA) limemteua mwamuzi Beida Dahane aliyechezesha mchezo kati ya Young Africans Sc dhidi ya Mamelodi Sundowns kuchezesha michezo ya soka ya mashindano ya Olimpiki itakayofanyika Ufaransa kuanzia Julai 26 hadi Agosti 11, mwaka huu. Dahane (32) ambaye alisimamia mchezo huo ulioishuhudia Yanga ikiondolewa kwenye hatua ya robo fainali kwa… Continue reading MWAMUZI BEIDA DAHANE APATA ULAJI FIFA

JURGEN KLOPP AIONYA MANCHESTER UNITED DHIDI YA ARSENAL

MICHEZO Kocha Mkuu wa Liverpool Jurgen Klopp ameionya Manchester United akisema watachezea kichapo kutoka kwa Arsenal mwezi ujao ikiwa watacheza kama walivyocheza dhidi ya kikosi chake. Klopp alitaka Liverpool kutulia baada ya timu hiyo kutoka sare ya kufungana mabao 2-2 katika mchezo wa Ligi Kuu kwenye Uwanja wa Old Trafford Jumapili (Aprili 07). Man United… Continue reading JURGEN KLOPP AIONYA MANCHESTER UNITED DHIDI YA ARSENAL

Please disable your adblocker or whitelist this site!

         banner