MWAMUZI BEIDA DAHANE ALIYEIUA YANGA ATOA KAULI HII NZITO KWA MASHABIKI

MICHEZO Kwa mara ya kwanza Mwamuzi wa kati aliyechezesha mechi ya juzi kati ya Mamelodi Sundowns na Yanga Beida Dahane raia wa Mauritania amefunguka kwamba asilaumiwe kwa lolote lile kwenye sakata la goli la Aziz Ki kukataliwa bali lawama zote ziwaendee waliokuwa wana-control Video Assistant Referee (VAR). Mwamuzi huyo ameeleza hayo wakati aki-chat Instagram na… Continue reading MWAMUZI BEIDA DAHANE ALIYEIUA YANGA ATOA KAULI HII NZITO KWA MASHABIKI

MAMELODI SUNDOWNS MBIONI KUMSAJILI AZIZ KI STEPHANE

MICHEZO Miamba ya soka ya Afrika Kusini, Mamelodi Sundowns wanahusishwa kuiwinda saini ya kiungo wa Yanga SC na raia wa Burkina Faso, Stephane Aziz Ki. Masandawana wanaonekana kuvutiwa na kiwango cha Ki, hasa katika michezo ya robo fainali ya Ligi ya Mabingwa Afrika ambapo aliitikisa ngome yao ya ulinzi. Baada ya mchezo wa duru ya… Continue reading MAMELODI SUNDOWNS MBIONI KUMSAJILI AZIZ KI STEPHANE

SABABU ASLAY NA MBOSSO KUWA MAADUI

MASTORI Aslay ndie chanzo cha beef zito kati yao !! Mbosso na Aslay wafunguka Baada ya Yamoto Band kusambaratika, Aslay ndiye aliyekuwa wa kwanza kuachia nyimbo zake binafsi ambapo Mbosso aliamua kurejea kijijini kwao mkoani Pwani. Kufuatia Aslay kuachia nyimbo mfululizo, baadaye yalisikika madai kutoka kwa wenzake kuwa, yeye (Aslay) ndiye chanzo cha kuvunjika kwa… Continue reading SABABU ASLAY NA MBOSSO KUWA MAADUI

YOUNGER AFRICANS YATUPWA NJE YA MICHUANO YA CAF

MICHEZO Mlinda lango Ronwen Williams ameibuka shujaa wa Mamelodi kwa kucheza mikwaju miwili ya penati na kuisaidia timu hiyo kuwaondosha mabingwa wa soka Tanzania Bara kwa penati 3-2 na kutinga nusu fainali ya michuano ya ligi ya mabingwa Afrika. Nyota Aziz Ki, Dickson Job na Ibrahim Bacca walipoteza mikwaju yao ya penati na kuwapa faida… Continue reading YOUNGER AFRICANS YATUPWA NJE YA MICHUANO YA CAF

MFAHAMU MWAMUZI WA MECHI YA MAMELODI SUNDOWNS NA YANGA

NYOTA WETU Mchezo wa marudiano wa hatua ya Robo Fainali Ligi ya Mabingwa Barani Afrika baina ya Mamelodi Sundowns na Young Africans utakaochezwa kesho Ijumaa (Aprili 05), Pretoria, Afrika Kusini utachezeshwa na Beida Dahane kutoka Mauritania mwenye historia nzuri na Young Africans. Refa huyo mwenye umri wa miaka 32 ndiye alichezesha mechi ya Mkondo wa… Continue reading MFAHAMU MWAMUZI WA MECHI YA MAMELODI SUNDOWNS NA YANGA

KOCHA NABI KWENYE RADA ZA TUNISIA

MICHEZO Shirikisho la Soka nchini Tunisia Fédération Tunisienne de Football (FTF) limepanga kumchukua kocha wa zamani wa Yanga SC, Nassredine Nabi kuifundisha timu ya taifa hilo. Nabi anayekinoa kikosi cha Forces Armees Royales Rabat hivi sasa anatarajiwa kuanza mazungumzo ya kukinoa kikosi hicho hivi karibuni. Taarifa kutoka nchini humo zinasema FTF watafurahi kama kocha huyo… Continue reading KOCHA NABI KWENYE RADA ZA TUNISIA

SUNNA SEPETU AKUMBWA NA MKASA WA UTAKATISHAJI WA MABILIONI YA PESA

HABARI KUU Dada wa Miss Tanzania 2006, Wema Sepetu, Sunna Sepetu (37) ametiwa mbaroni mjini Worcester, Massachusetts nchini Marekani baada ya kukutwa na hatia ya kula njama ya utakatishaji fedha zilizotokana na utapeli. Mshtakiwa mwenzake, Nafise Quaye, (47) raia wa Nigeria ambaye pia anaishi Worcester, Massachusetts pia alitiwa hatiani kwa shtaka kama hilo kufuatia kesi… Continue reading SUNNA SEPETU AKUMBWA NA MKASA WA UTAKATISHAJI WA MABILIONI YA PESA

ROBERT LEWANDOWSKI AKATAA OFA HII YA SAUDIA ARABIA

MICHEZO Mshambuliaji wa FC Barcelona, Robert Lewandowski, amekataa mkataba mnono nchini Saudi Arabia ili kubakia klabuni hapo, kwa mujibu wa ripoti kutoka Hispania. Mchezaji huyo wa Kimataifa wa Poland alijiunga na Barca katika dirisha la usajili la kiangazi la 2022 na akaiwezesha klabu hiyo kutwaa taji lao la kwanza la La Liga katika kipindi cha… Continue reading ROBERT LEWANDOWSKI AKATAA OFA HII YA SAUDIA ARABIA

AZIZ KI AWEKA REKODI MPYA LIGI KUU YA TANZANIA BARA

MICHEZO Kiungo Mshambuliaji wa Mabingwa wa Soka Tanzania Bara Young Africans, Aziz Ki ameteuliwa kuwa Mchezaji Bora wa mwezi Machi wa Ligi Kuu msimu wa 2023/2024, huku Bruno Ferry wa klabu ya Azam, akichaguliwa Kocha Bora wa ligi hiyo kwa mwezi huo. Ki amewashinda Feisal Salum wa Azam na Clatous Chama wa klabu ya Simba… Continue reading AZIZ KI AWEKA REKODI MPYA LIGI KUU YA TANZANIA BARA

PRINCE DUBE AWASHITAKI AZAM FC SHIRIKISHO LA MPIRA NCHINI TFF

MICHEZO Taarifa za uhakika ambazo zimetufikia zinasema kuwa mshambuliaji wa Azam FC aliyeaga klabuni hapo Prince Mpumelelo Dube ameamua kuwashitaki Azam FC kwa shirikisho la mpira nchini TFF. Taarifa hizo zinaeleza kuwa mshambuliaji huyo ameukana mkataba ambao Azam FC wanasema aliusaini na unaisha mwezi Juni 2026. Mshambuliaji huyo ametinga TFF na mkataba ambao anasema ni… Continue reading PRINCE DUBE AWASHITAKI AZAM FC SHIRIKISHO LA MPIRA NCHINI TFF

Please disable your adblocker or whitelist this site!

         banner