TIMU ZINAZOWANIA KUMNASA PRINCE DUBE

Uongozi wa Azam FC umethibitisha kupokea ofa kutoka katika timu za Simba SC ya Tanzania na Al Hilal ya Sudan, zikihitaji huduma ya straika wake Prince Dube.

Katika taarifa yake ilitolewa leo, Azam FC imesema inazifanyia kazi ofa hizo huku ikiweka milango wazi kwa timu nyingine zitakazomuhitaji mchezaji huyo raia wa Zimbabwe.

Prince Dube ambaye bado ana mkataba na Azam FC, alishaandika barua ya kuomba kuondoka klabuni hapo, na uongozi wa Azam FC ukaweka wazi utaratibu wa kimkataba ukimtaka kulipa Dola za Kimarekani 300,000/ ili kuvunja mkataba huo.

Continue ReadingTIMU ZINAZOWANIA KUMNASA PRINCE DUBE

Klabu ya Simba imeonesha nia ya kutaka kumsajili mlinzi wa pembeni wa Singida Fountain Gate Nickson Kibabage ambaye yupo kwa mkopo Yanga SC .

Mkataba wa Singida na kibabage utaisha 2025, na atarejea katika kikosi cha Singida baada ya kumaliza mkataba wake wa mkopo kwa wananchi mwishoni mwa msimu huu. Taarifa za ndani zinasema…

Continue ReadingKlabu ya Simba imeonesha nia ya kutaka kumsajili mlinzi wa pembeni wa Singida Fountain Gate Nickson Kibabage ambaye yupo kwa mkopo Yanga SC .