HAJI MANARA AZIDISHA MOTO SUALA LA PRINCE DUBE KUAMIA YANGA

MICHEZO Baada ya Mchambuzi wa masuala ya kandanda Jemedari Saidi kupinga shauri la Haji Manara la kumchangia Prince Dube, manara amemjibu haya kupitia kwenye Instagram. “Mnaandika wenyewe mimi nimefungiwa, baadae mnasema sipo katika familia ya Mpira, hapo hapo mnasema nipuuzwe na baadae mnadai mimi Mjinga, kiufupi Mimi ndio Star wenu huku mitandaoni, Mimi ndio nnaewapa… Continue reading HAJI MANARA AZIDISHA MOTO SUALA LA PRINCE DUBE KUAMIA YANGA

SABABU YA DUBE KUOMBA KUONDOKA AZAMimg

MAKALA Klabu ya Azam imethibitisha kupokea barua ya PRİNCE DUBE akiomba kuondoka kwenye klabu hiyo. Taarifa ya klabu inasema Azam FC wamemjibu na kumwambia anaweza kuondoka ila kwa kufikiwa kwa vipengele vya mkataba, yani kama klabu nyingine au yeye mwenyewe anaweza kuilipa Azam FC pesa waliyoweka kwenye mkataba kama mchezaji anataka kuvunja mkataba au timu… Continue reading SABABU YA DUBE KUOMBA KUONDOKA AZAMimg

WAFAHAMU WAAMUZI WA YANGA NA AL AHLY

MICHEZO Mechi kati ya Al Ahly na Young Africans itachezeshwa na Refa Djindo Houngnandande kutoka Benin, wakati mchezo wa Simba SC na Jwaneng Galaxy utakuwa chini ya usimamizi wa Refa Daniel Nii Laryea kutoka Ghana. Refa Houngnandande kutoka Benin anakumbukwa na Young Africans kwa kuchezesha mechi yao ya ugenini kwenye Kombe la Shirikisho Barani Afrika… Continue reading WAFAHAMU WAAMUZI WA YANGA NA AL AHLY

VICTOR OSIMHEN KUAMIA LIGI YA ENGLAND

MICHEZO Licha ya kipaumbele cha Victor Osimhen msimu wa joto kuhamia Ligi ya Premia lakini bado haieleweki ni klabu gani itayonasa saini ya mkali huyo, ila taarifa zinaeleza kuwa Chelsea, Arsenal na miamba ya Ufaransa PSG ni miongoni mwa vilabu vinavyotaka kumsajili mkali huyo kwa msimu huu wa joto. Hivi majuzi Osimhen alitia saini mkataba… Continue reading VICTOR OSIMHEN KUAMIA LIGI YA ENGLAND

YANGA YAINGIA MKATABA WA MILIONI 300

MICHEZO Klabu ya Yanga imeingia Mkataba wenye thamani ya Tsh milioni 300 na kampuni ya usafirishaji ya Karimjee Group inayotengeneza pikipiki za Hero Duniani utakaodumu kwa kipindi cha miezi 18. “Leo tumeingia makubaliano na kampuni ya Karimjee Mobility kupitia kampuni ya Hero ambayo inatengeneza pikipiki na kusambaza. Kampuni ya Hero inatajwa kuwa kampuni namba 1… Continue reading YANGA YAINGIA MKATABA WA MILIONI 300

AL AHLY KUIBEBA YANGA LEO USIKU?

MICHEZO Yanga inaweza kuwa kwenye nafasi nzuri ya kufuzu robo fainali ya Ligi ya Mabingwa Afrika endapo Al Ahly itaifunga CR BELOUZIDAD ya Algeria leo Februari 16,2024 . Mchezo huo utapigwa kwenye ardhi ya Algeria mnamo saa 4:00 usiku kwa saa za Afrika Mashariki kwenye dimba la Julai 5.1962 jijini Algers, Algeria. Ushindi wa Al… Continue reading AL AHLY KUIBEBA YANGA LEO USIKU?

Please disable your adblocker or whitelist this site!

         banner