EMMERSON MNANGAGWA APIGWA VIKWAZO NA MAREKANIimg

HABARI KUU Marekani imewawekea vikwazo watu tisa 9 nchini Zimbabwe akiwemo Rais wa nchi hiyo, Emmerson Mnangagwa, mke wake, Auxillia Mnangagwa, Makamu wa Rais, Constantino Chiwenga, Waziri wa Ulinzi, Mkuu wa Upelelezi wa Zimbabwe na Patrick Chinamasa Mweka Hazina wa chama cha kisiasa cha Zanu PF. Pia Marekani imeyawekea vikwazo Makampuni matatu ya kibiashara ya… Continue reading EMMERSON MNANGAGWA APIGWA VIKWAZO NA MAREKANIimg

MWANASIASA WA UPINZANI AKUTWA AMEFARIKI

HABARI KUU. Mwanaharakati wa Chama cha upinzani cha Citizens Coalition for change (CCC) kutoka Zimbabwe aliyeteka nyara jumamosi iliyopita,amekutwa akiwa amefariki. Msemaji wa Chama cha CCC Promise Mkwananzi ameelezea kuwa Tapfumaneyi Masaya alitekwa na watu wasiojulikana wakati akifanya kampeini,alifungwa na kuingizwa kwenye gari,baadaye aliteswa na mwili wake ulitupwa nje ya jiji la Harare. Kulengwa kwa… Continue reading MWANASIASA WA UPINZANI AKUTWA AMEFARIKI

Please disable your adblocker or whitelist this site!

         banner