Rais wa Liberia Joseph Boakai ametangaza kuwa atapunguza mshahara wake kwa 40%.
Ofisi yake ilisema ana matumaini ya kuweka mfano wa "utawala unaowajibika" na kuonyesha "mshikamano" na Waliberia. Mishahara ya serikali imekuwa ikichunguzwa vikali hivi karibuni huku Waliberia wakilalamikia kupanda kwa gharama…