CCM YAIBANA SERIKALI KUHUSU MGAO WA UMEME NCHINI
MAGAZETI
Karibu Mtanzania popote pale ulipo kwenye asubuhi ya leo kwenye mbao za magazeti ya hivi leo popote pale ulipo kwenye Jamhuri yetu tukufu ya Tanzania 🇹🇿.
(more…)
MAGAZETI
Karibu Mtanzania popote pale ulipo kwenye asubuhi ya leo kwenye mbao za magazeti ya hivi leo popote pale ulipo kwenye Jamhuri yetu tukufu ya Tanzania 🇹🇿.
(more…)NYOTA WETU. Kwa mujibu wa jarida la Digital Platform, Rema ndiye mwimbaji aliyefanya vizuri zaidi Afrika kwenye mtandao wa Spotify kwa mwaka 2023 kwa kufikisha streams zaidi ya bilioni 1.6,…
MAGAZETI Karibu Mtanzania popote pale ulipo kwenye asubuhi ya leo kwenye mbao za magazeti ya hivi leo popote pale ulipo kwenye Jamhuri yetu tukufu.
NYOTA
Muigizaji wa muda mrefu nchini ,Wema Sepetu amefunguka wazi na kuelezea kuwa wanaume wengi hawapendi tabia za wapenzi wao kuwaomba pesa kwa kusudi la kupima upendo wao wa kweli.
Kulingana na ,Wema,kumekuwa na tabia nyingi kutoka kwa wanawake kutoamini upendo wa kweli wa wapenzi wao jambo ambalo wameiweka kasumba ya kuitisha wanaume wao hela ovyo ovyo ili kutambua iwapo wanapendwa.
(more…)MICHEZO Shirikisho la soka Afrika (CAF) limezindua chama cha vilabu barani Afrika (ACA) likimchagua Mtanzania na Rais wa Yanga, Mwandisi Hersi Said kuwa mwenyekiti wa Bodi ya Chama hicho chenye…
NYOTA WETU Mwanadiplomasia wa zamani wa Marekani ambaye aliwahi pia kuwa Waziri wa mashauri ya kigeni ya nchi hiyo,Dkt. Henry Alfred Kissinger amefariki Dunia akiwa na umri wa miaka 100…
MICHEZO Kwenye mechi ya jana ya UEFA Champions League, Bruno Fernández aligusa mpira mara 60 na kutoa pasi tatu muhimu pamoja na pasi nne ndefu ,pia alishinda mipira 5 ya…
MAGAZETI Karibu Mtanzania popote pale ulipo kwenye Jamhuri yetu tukufu ya Alhamisi ambapo magazeti Karibu yote yana habari kuhusu,Daniel Chongolo kujiuzulu Utendaji mkuu ndani ya chama cha Mapinduzi.
NYOTA WETU Hali ya kiongozi wa kanisa Katoliki Duniani Papa Francis bado si nzuri kwani jana alilazimika kumuomba msaidizi wake kusoma hotuba katika hadhira yake ambayo ufanyika kila jumatano Vatican.…