EVERTON YAPATA MMILIKI MPYA
Michezo Kampuni ya Uwekezaji kutoka Marekani imefikia makubaliano ya kununua asilimia 94.1 ya hisa za klabu ya Everton kutoka kwa aliyekuwa mmiliki wa klabu hiyo Farhad Moshiri. Farhad Moshiri Kukamilika…
Michezo Kampuni ya Uwekezaji kutoka Marekani imefikia makubaliano ya kununua asilimia 94.1 ya hisa za klabu ya Everton kutoka kwa aliyekuwa mmiliki wa klabu hiyo Farhad Moshiri. Farhad Moshiri Kukamilika…
Michezo USM Alger imetwaa taji la CAF Super Cup ikiwachapa vigogo wa soka la Afrika mara 11, AL Ahly ya Misri kwa bao 1-0 katika mechi iliochezwa Dimba la King…
Michezo Mkurugenzi wa EFM Redio, Francis Ciza maarufu kwa jina la Dj Majizzo ameweka zawadi ya gari kwa msanii bora wa mziki wa singeli nchini. Francis Ciza " Majizzo "…
Michezo Iran inataka kumpa laini ya simu ,Cristiano Ronaldo na wachezaji wengine wa soka wa kigeni ili kuwawezesha kutumia mtandao bila vikwazo watakapokuwa Tehran,huduma ambayo raia wa kawaida wa Iran…
Nyota wetu Aliyekuwa gwiji mcharaza gitaa maarufu wa Jamhuri ya kidemokrasia ya Congo 🇨🇩, Denis Lokassa Kasiya ,maarufu kama Lokassa ya Mbongo ,aliyefariki miezi sita iliopita,bado mwili wake haujazikwa. Hii…
Habari Kuu. Kampuni ya Apple ,hapo jana Septemba 12,2023 ilizindua toleo jipya la simu zake za iPhone 15 Pro na iPhone 15 Pro max ambazo zimeboreshwa vitu mbalimbali na kuzifanya…
Michezo Video ya wimbo "Enjoy " wa mwanamziki Juma Jux aliyomshirikisha Naseeb Abdul maarufu Diamond Platinum imeondolewa kwenye mtandao wa YouTube kwasababu ya masuala ya haki miliki. Sapologuano Odenumz Akizungumza…
Juventus imesema kupita taarifa kwamba Michezo " klabu ya Juventus inatangaza kuwa leo 11 Septemba 2023 ,mchezaji wa mpira wa miguu Paul Liabile Pogba akipokea agizo la kusimamishwa kwa tahadhali…
Habari Kuu Kiongozi huyo wa Korea Kaskazini amewasili nchini Urusi kwa ziara ya nadra nje ya nchi siku moja baada ya mataifa hayo mawili kudhibitisha uvumi kuwa Kim atakutana na…
Makala. Bara la Afrika bado linakabiliwa na Changamoto kubwa kwenye masuala ya demokrasia Duniani. Kwa mujibu wa ripoti ya Economist Intelligence Unit (EIU) ni kuwa 12% tu ya nchi za…