WAZIRI MKUU EDWARD LOWASSA AFARIKI DUNIA
HABARI KUU Waziri Mkuu mstaafu wa Tanzania, Edward Ngoyai Lowassa mwenye umri wa miaka 70 amefariki Dunia leo Februari 10,2024 katika Taasisi ya Moyo ya Jakaya Kikwete (JKCI), jijini Dar…
HABARI KUU Waziri Mkuu mstaafu wa Tanzania, Edward Ngoyai Lowassa mwenye umri wa miaka 70 amefariki Dunia leo Februari 10,2024 katika Taasisi ya Moyo ya Jakaya Kikwete (JKCI), jijini Dar…
HABARI KUU Rais wa Hungary amejiuzulu kutokana na ghadhabu ya raia baada ya kumsamehe mwanaume aliyekutwa na hatia katika kesi ya unyanyasaji wa kingono kwa watoto. Rais Katalin Novak alikuwa…
MAKALA Ajuza wa miaka 73 , Luisa Yu ameweka rekodi ya kutembelea nchi zote 193 Duniani ambao ni wanachama wa jumuiya ya umoja wa Mataifa (UN) ,jukumu ambalo amedumu nalo…
MICHEZO Rais wa Shirikisho la mpira wa miguu Afrika (CAF) , Patrice Motsepe , ameipa maua yake Côte d'ivoire kwa maandalizi mazuri ya michuano ya Afrika ya mwaka huu na…
MAGAZETI Karibu Mtanzania popote pale ulipo kwenye asubuhi ya leo kwenye mbao za magazeti ya hivi leo popote pale ulipo kwenye Jamhuri yetu tukufu ya Tanzania.
MAPENZI 1. USIONGEE KAMA KWAMBA MTOTO HATAKIWI. Usimfanye mkeo na mtoto wajione wametengwa,hata kama ujauzito uliingia bila mipango. 2. FANYA MAOMBI KWAAJILI YA MWANAO. Usisubiri mpaka mtoto azaliwe,hata atakapokuwa tumboni…
MAGAZETI Karibu Mtanzania popote pale ulipo kwenye asubuhi ya leo kwenye mbao za magazeti ya hivi leo popote pale ulipo kwenye Jamhuri yetu tukufu ya Tanzania.
MAPENZI Kuzeeshana kwenye ndoa ni jambo ambalo kila mwanandoa analitamani lakini wengi hawafahamu namna ya kufika huko. Sasa haya mambo yanaweza kumsaidia kila mwenye Ndoa, 1. MAWASILIANO YA WAZI .…
MAGAZETI Karibu Mtanzania popote pale ulipo kwenye asubuhi ya leo kwenye mbao za magazeti ya hivi leo popote pale ulipo kwenye Jamhuri yetu tukufu ya Tanzania 🇹🇿.
MICHEZO Chama cha soka Misri (EFA) kimemtangaza mfungaji bora wa muda wote wa timu ya Taifa ya Misri, Hossam Hassan kuwa kocha mkuu mpya wa timu ya taifa ya nchi…