ORODHA YA MAJINA YA TEUZI ZA RAIS SAMIA SULUHU HASSAN USIKU WA PASAKA
HABARI KUU. Rais Samia Suluhu Hassan, amemteua Deogratias Ndejembi kuwa Waziri wa Kazi, Ajira Vijana na Wenye Ulemavu, akichukua nafasi ya Profesa Joyce Ndalichako ambaye uteuzi wake umetenguliwa. Kabla ya…