KLOPP KUONDOKA LIVERPOOL
MICHEZO Jurgen Klopp ametangaza kuwa ataondoka Liverpool mwishoni mwa msimu huu wa 2023-24, baada ya kumaliza muda wake wa miaka tisa katika klabu hiyo. Habari hizo zimeshtua sana wadau wa…
MICHEZO Jurgen Klopp ametangaza kuwa ataondoka Liverpool mwishoni mwa msimu huu wa 2023-24, baada ya kumaliza muda wake wa miaka tisa katika klabu hiyo. Habari hizo zimeshtua sana wadau wa…
MICHEZO. Mshambuliaji wa Taifa stars, Simon Msuva amesema mashindano ya Mataifa ya Afrika (AFRICON) mwaka 2023 yamemsaidia kupata timu mpya baada ya kuachana na timu aliyokuwa akiitumikia kabla ya mashindano…
MAPENZI Kila mtu anapenda kuwa kwenye mahusiano au ndoa kwa muda mrefu lakini hali za kimaisha ndio huwa ni mwamuzi wa watu kutengana. Sasa ni kipi kifanyike? 1. KUAMINIANA. Usiwe…
1. Shutuma kwa mwenza wako,lawama ,kumsingizia makosa ambayo hajatenda na mambo mengine kama hayo. 2. Kuwa mtu wa kujilinda na asiyetaka kushauriwa kwa lolote na ikitokea ukashauriwa unaona kama unavunjiwa…
MAPENZI Mapenzi sio mwonekano au kipato bali Mapenzi yako kwenye 1. MAWAZO. Ukiacha kipato,urembo, dini na elimu ,sehemu nzuri ya kumpata mtu wako sahihi kwenye maisha yako ni namna anavyowaza…
MAGAZETI Karibu Mtanzania popote pale ulipo kwenye asubuhi ya leo kwenye mbao za magazeti ya hivi leo popote pale ulipo kwenye Jamhuri yetu tukufu ya Tanzania.
HABARI KUU Ikiwa leo ni Januari 24,2o24 ,Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kimepanga kufanya maandamano ya amani. Hoja za CHADEMA kuandamana leo ni pamoja na; 1. WAFUNGWA RAIA WA…
NYOTA WETU. Lizzyash Ashliegh ,ambaye ni chanzo cha kusambaa kwa video kwenye mitandao ya kijamii akieleza yeye na wenzake wanne walipewa ujauzito kwa mara moja na Mwanamziki wa Marekani ,Zeddy…
MAPENZI 1. UPWEKE. Mwanamke akimkosa mtu wake kwenye nyakati zake basi huwa anaona kutengwa au kudharaulika. 2. KUTOSIKILIZWA. Mwanamke anapokosa kusikilizwa basi huwa anajiona asiye na thamani na mpweke. Sababu…