MWAMUZI MWEUSI AONEKANA LIGI KUU YA ENGLAND
MICHEZO. Ligi kuu ya England haijawahi kuwa na mwamuzi mweusi tangu ,Uriah Rennie aliyekuwa mwamuzi pekee mweusi katika historia ya mashindano hayo hadi kufikia jana,Desemba 26,2023 ambako mtu mweusi mwingine…