KIONGOZI MKUU WA AL-SHABAAB AUAWA
HABARI KUU Kiongozi mkuu wa kundi AL-SHABAAB linaloendesha harakati zake nchini Somalia 🇸🇴 na Kenya 🇰🇪 ,Maalim Ayman ameuawa akiwa kwenye operesheni ya jeshi la Somalia kwa ushirikiano wa vikosi…
HABARI KUU Kiongozi mkuu wa kundi AL-SHABAAB linaloendesha harakati zake nchini Somalia 🇸🇴 na Kenya 🇰🇪 ,Maalim Ayman ameuawa akiwa kwenye operesheni ya jeshi la Somalia kwa ushirikiano wa vikosi…
MICHEZO Klabu ya Manchester city ya England imetwaa ubingwa wa vilabu bingwa wa Dunia baada ya kuwachapa Mabingwa wa Amerika Kusini klabu ya Fluminense ya nchini Brazil 🇧🇷 kwa jumla…
MAGAZETI Karibu Mtanzania popote pale ulipo kwenye asubuhi ya leo kwenye mbao za magazeti ya hivi leo kwenye Jamhuri yetu tukufu ya Tanzania 🇹🇿.
HABARI KUU Kulala kwa muda mrefu zaidi wikiendi kunaweza kusaidia kuboresha afya yako ya moyo,mishipa na kupunguza hatari ya mshtuko wa moyo ,kwa mujibu wa tafiti. Utafiti,uliofanywa na Watafiti wa…
NYOTA WETU Klabu ya Simba imewasimamisha, Clatous Chama na Nassor Kapama huku kukiwa na taharuki ,je wawili hao wamegomba kambini? Au ni sababu gani zinawafanya waonekane watovu wa nidhamu? Kwa…
MAGAZETI Karibu Mtanzania popote pale ulipo kwenye Jamhuri yetu tukufu ya Tanzania kwenye mbao za magazeti ya hivi leo.
MICHEZO Mahakama kuu ya umoja wa Ulaya imetoa uamuzi kuhusu sakata la mashirikisho ya UEFA na FIFA kupinga kuanzishwa kwa michuano ya "European Super League "ikidai kuwa UEFA na FIFA…
HABARI KUU Mkuu wa kundi la wapiganaji wa HAMAS amewasili kwenye mji wa Cairo kukutana na mkuu wa kijasusi wa Misri , Ismail Haniyeh kwa kawaida anakaa Qatar, lakini ziara…
NYOTA WETU Kiongozi wa Korea Kaskazini, Kim Jong Un ametuma ujumbe wa pongezi kufuatia ushindi wa Rais wa Misri ,Abdel Fattah kwenye uchaguzi mkuu wa nchi hiyo, mawasiliano ya ikulu…
NYOTA WETU. Saddam Hussein aliendelea kukimbia kwa muda wa miezi nane baada ya uvamizi ulioongozwa na Marekani nchini Iraq 🇮🇶 mwaka 2003 wa kuhakikisha unamuondoa madarakani. Hatimaye alikamatwa karibu na…