BIBI HARUSI ALIYEFARIKI AJALINI MAMA YAKE KUZIKWA SIKU YA HARUSI
MAGAZETI Karibu Mtanzania popote pale ulipo kwenye asubuhi ya leo kwenye mbao za magazeti ya hivi leo popote pale ulipo kwenye Jamhuri yetu tukufu.
MAGAZETI Karibu Mtanzania popote pale ulipo kwenye asubuhi ya leo kwenye mbao za magazeti ya hivi leo popote pale ulipo kwenye Jamhuri yetu tukufu.
NYOTA
Muigizaji wa muda mrefu nchini ,Wema Sepetu amefunguka wazi na kuelezea kuwa wanaume wengi hawapendi tabia za wapenzi wao kuwaomba pesa kwa kusudi la kupima upendo wao wa kweli.
Kulingana na ,Wema,kumekuwa na tabia nyingi kutoka kwa wanawake kutoamini upendo wa kweli wa wapenzi wao jambo ambalo wameiweka kasumba ya kuitisha wanaume wao hela ovyo ovyo ili kutambua iwapo wanapendwa.
(more…)MICHEZO Shirikisho la soka Afrika (CAF) limezindua chama cha vilabu barani Afrika (ACA) likimchagua Mtanzania na Rais wa Yanga, Mwandisi Hersi Said kuwa mwenyekiti wa Bodi ya Chama hicho chenye…
NYOTA WETU Mwanadiplomasia wa zamani wa Marekani ambaye aliwahi pia kuwa Waziri wa mashauri ya kigeni ya nchi hiyo,Dkt. Henry Alfred Kissinger amefariki Dunia akiwa na umri wa miaka 100…
MICHEZO Kwenye mechi ya jana ya UEFA Champions League, Bruno Fernández aligusa mpira mara 60 na kutoa pasi tatu muhimu pamoja na pasi nne ndefu ,pia alishinda mipira 5 ya…
MAGAZETI Karibu Mtanzania popote pale ulipo kwenye Jamhuri yetu tukufu ya Alhamisi ambapo magazeti Karibu yote yana habari kuhusu,Daniel Chongolo kujiuzulu Utendaji mkuu ndani ya chama cha Mapinduzi.
NYOTA WETU Hali ya kiongozi wa kanisa Katoliki Duniani Papa Francis bado si nzuri kwani jana alilazimika kumuomba msaidizi wake kusoma hotuba katika hadhira yake ambayo ufanyika kila jumatano Vatican.…
NYOTA WETU. Neymar Jr na mpenzi wake,Bruna Biancardi wametengana mwezi mmoja tu baada ya kumkaribisha mtoto wao wa kwanza aitwae Mavie. Uamuzi huo umekuja baada ya uvumi katika wiki za…
MASTORI Bunge la Kenya limepiga marufuku uvaaji wa kaunda suti ndani ya majengo yake huku Spika wa Bunge, Moses Wetangula akisisitiza suti hizo ,pamoja na mavazi ya kitamaduni ya kiafrika…
MICHEZO Waandaaji wa tamasha la muziki la STAVERN FESTIVAL la Norway tayari wamewatangaza wasanii watakao shiriki mwaka 2024,Burna Boy ni mmojawapo wa hao. Tamasha hilo linalotarajiwa kufanyika julai 3 mpaka…