MORGAN FREEMAN AFICHUA SIRI YA KUVAA HERENI
NYOTA WETU. Muigizaji wa filamu Morgan Freeman afichua siri za kuvaa hereni zake za dhahabu alizo zivaa kwa miaka mingi. Kupitia mtandao wa kijamii wa Instagram Freeman amemjibu shabiki kwa…
NYOTA WETU. Muigizaji wa filamu Morgan Freeman afichua siri za kuvaa hereni zake za dhahabu alizo zivaa kwa miaka mingi. Kupitia mtandao wa kijamii wa Instagram Freeman amemjibu shabiki kwa…
MICHEZO Msemaji wa Yanga sc, Ally Shaban Kamwe amewaomba mashabiki wa klabu hiyo, siku ya jumapili asubuhi kila mmoja abebe chapati zake,maandazi,vitumbua aje navyo pale jangwani kwani supu itagawiwa bure.…
NYOTA WETU. Baba Mzazi wa nyota wa Liverpool Luis Diaz aliyetekwa nchini Colombia takribani wiki mbili zilizopita,ameachiwa huru. Taarifa zinaeleza mzee Luis Manuel Diaz alikabidhiwa kwa tume ya umoja wa…
NYOTA WETU. Taarifa kutokea Marekani zinaeleza kuwa masaa manne ya ushahidi kutoka kwa mtoto mkubwa wa Rais wa zamani wa Marekani Donald Trump unaweza kufupishwa kwa neno moja "sikumbuki". Jumatano,Ivanka…
MAGAZETI
Karibu Mtanzania popote pale ulipo kwenye asubuhi ya Novemba 11,2023 kwenye mbao za magazeti ya hivi leo.
(more…)MASTORI Ndoa ina maajabu yake ,huwezi amini lakini ukweli ni kuwa sio watu wote wanafaa kuolewa au kuoa. HIZI NI AINA ZA WANAWAKE AMBAO HAWAWEZI KUKAA KWENYE NDOA 1. WANAWAKE…
NYOTA WETU Muigizaji mkongwe na mshindi wa tuzo za Oscar ,Jon Voight (84) ambaye ni baba mzazi wa Muigizaji Angelina Jolie (48) ameelezea kusikitishwa kwake na maoni ya binti yake…
MAGAZETI Karibu Mtanzania kwenye magazeti ya leo kwenye mbao zake popote pale ulipo kwenye Jamhuri hii ya Muungano wa Tanzania.
MASTORI Mechi kati ya Borussia Dortmund na Newcastle, usiku wa jumanne ililazimika kusimama kwa muda baada ya mashabiki wa Dortmund kurusha dhahabu feki na mifuko bandia uwanjani, huku wakibeba bango…
MAGAZETI Karibu Mtanzania kwenye magazeti ya leo kwenye mbao za magazeti ya hivi leo popote pale ulipo kwenye Jamhuri yetu tukufu.