MAJAMBAZI WAUA MLINZI KKKT WAPORA MAMILIONI
MAGAZETI
Karibu Mtanzania kwenye magazeti ya leo kwenye mbao za magazeti ya hivi leo popote pale ulipo.
(more…)
MAGAZETI
Karibu Mtanzania kwenye magazeti ya leo kwenye mbao za magazeti ya hivi leo popote pale ulipo.
(more…)HABARI KUU. Wizara ya Mambo ya nje ya Urusi hapo awali ilithibitisha kuwa ujumbe wa HAMAS umewasili Moscow leo kwa mazungumzo, na kutangaza walikuwa wakizungumzia na "wahusika wakuu" .....kutatua mgogoro…
HABARI KUU Watanzania wawili na raia mmoja wa Afrika kusini ni miongoni mwa watu 224 wanaosadikiwa kutekwa na kundi la HAMAS baada ya mashambulizi ya Oktoba 7 nchini Israel, Serikali…
NYOTA WETU Mchezaji wa klabu ya Yanga, Jonas Mkude amefungua kesi katika Mahakama kuu kanda ya Dar es salaam akiidai kampuni ya Mohammed Enterprises Tanzania Limited (METL) fidia ya shilingi…
MAGAZETI Karibu Mtanzania kwenye magazeti ya leo kwenye mbao za magazeti ya hivi leo popote pale ulipo tarehe 27 Oktoba 2023.
MICHEZO Kiungo wa Newcastle United, Sandro Tonali amefungiwa miezi 10 kutojihusisha na masuala ya soka kwa kukiuka taratibu za soka za nchini Italia. Tonali atatumia miezi 8 kushiriki katika mpango…
HABARI KUU. Wazee wa jamii ya Nandi nchini Kenya wametoa wito kwa kurudisha fuvu la Koitalel Arap Samoei ,chifu pamoja na kiongozi wa kiroho na kijeshi aliyeuawa na Waingereza mwaka…
MICHEZO Inaripotiwa kuwa klabu ya Al-Nassr kutoka ligi kuu ya Saudia Arabia, imedhamiria kumsajili kiungo wa Manchester City, Kelvin De Bruyne. Tayari klabu hiyo imewasiliana na wakala wa mchezaji huyo…
MICHEZO Mshambuliaji wa Barcelona, Ferran Torres amemzawadia marehemu bibi yake bao alilolifunga dhidi ya Shakhtar Donetsk ya Mtanzania Novatus Dismas Miroshi:- "Hii ni kwaajili yako bibi Yalisomeka maneno kwenye jezi…
MAGAZETI Magazeti ya leo kwenye mbao za magazeti ya hivi leo popote pale ulipo kwenye Jamhuri ya Muungano wa Tanzania 🇹🇿.