SIRI YA WACHEZAJI KUKUBALI KUJIUNGA LIGI YA SAUDIA YABAINIKA.
Michezo Ligi ya Saudi Pro League imeleta mageuzi makubwa kwenye soka la Dunia hasa kwa kutoa mishahara mikubwa na ada kubwa za uhamisho kwa wachezaji wakubwa. Licha ya hayo yote…
Michezo Ligi ya Saudi Pro League imeleta mageuzi makubwa kwenye soka la Dunia hasa kwa kutoa mishahara mikubwa na ada kubwa za uhamisho kwa wachezaji wakubwa. Licha ya hayo yote…
Dodoma. Rais wa Tanzania Dkt .Samia Suluhu Hassan amewaapisha MabaloziWateule Ikulu Chamwino Dodoma leo Agosti 16,2023 ambapo moja ya mambo aliyoyasema kwenye hotuba ni kwamba kuna Mabalozi ni kama vile…
Dar es salaam Karibu asubuhi ya leo kwenye magazeti ya leo Mtanzania popote pale ulipo kwenye vichwa vya magazeti.
Klabu ya Chelsea ya Magharibi mwa London imemtangaza mchezaji Moises Caicedo (21) ambae alikuwa mchezaji muhimu kunako kikosi cha Brighton & Hove Albion msimu wa 2022-23. Chelsea wamelipa jumla ya…
Makala Fupi Maisha halisi ya Mwanamke anayetarajia kuwa mke kwa maana ya maandalizi au mwenendo yana mambo yafuatayo; UVUMILIVU Kuwa mvumilivu katika maisha yake ya kila siku hasa ukizingatia kuwa…
Makala Fupi Wachezaji kutoka kwenye ligi za ushindani walioamia kwenye ligi ya Saudia,orodha yao hii hapa. Timu Al-Ahli Edouard Mendy Franck Kessie Ryad Boudebour Roberto Firmino Riyad Mahrez Allan Saint-Maximin…
Dar es salaam. Jeshi la Polisi Makao Makuu,Dar es salaam, limetoa taarifa kuwa limewakamata na kuwashikilia Boniface Mwabukusi na Mpaluka Nyagali alimaarufu Mdude kwa tuhuma za kutoa maneno ya uchochezi.…
London,Uingereza. Timu ya Manchester City imeendeleza pale ilipoishia kwenye msimu wa 2022-23 leo baada ya kuichapa timu ya Burnley kwenye ufunguzi wa msimu wa 2023-24. Ilikuwa ni dakika ya 4…
Dar es salaam. Magazeti ya leo yana habari kuhusu , Sakata la Bima kwa wote lamuibua Waziri Ummy Mwalimu atakiwa kutoa ufafanuzi kuhusu mchakato lakini akwama kutoa majibu. Na habari…
<!--INDOLEADS - BEGIN--> Makala Fupi Ni MUNGU tu mwenye Mamlaka ya kumruzuku kiumbe wake riziki katika Mazingira yoyote yale, ni MUNGU ambaye anaweza kukupitisha kwenye changamoto hili akupe pumziko jema.…