AC MILAN YAMKANA TONALI
MICHEZO
Klabu ya Ac Milan imetangaza haikuwa inafahamu chochote kuhusu uraibu wa kucheza kamari wa kiungo wake wa zamani, Sandro Tonali kabla ya kumuuza kwenda Newcastle United ya EPL.
(more…)
MICHEZO
Klabu ya Ac Milan imetangaza haikuwa inafahamu chochote kuhusu uraibu wa kucheza kamari wa kiungo wake wa zamani, Sandro Tonali kabla ya kumuuza kwenda Newcastle United ya EPL.
(more…)NYOTA WETU. Mahakama imesema Asamoah Gyan (37) amlipe fidia aliyekuwa mke wake nyumba 2,moja ikiwa nchini Uingereza na nyingine ikiwa Accra, Ghana,pia ampe kituo cha mafuta cha petroli na gari…
HABARI KUU Rais wa Rwanda, Paul Kagame ameanzisha safari zisizohitaji visa kwa Waafrika wote ,na kuifanya Rwanda kuwa nchi ya 4 barani Afrika kufanya hivyo. "Pia tumeondoa vizuizi vya visa…
SPORTS. Chelsea is now at quarterfinal of Carabao cup after the win of 2-0 yesterday. These are scenarios by photo 📸
MAGAZETI Karibu Mtanzania kwenye magazeti ya leo kwenye mbao za magazeti ya hivi leo popote pale ulipo kwenye asubuhi ya Novemba 3,2023.
HABARI KUU. Kutokana na kile ambacho tunaweza kuangalia ni kwamba, Waisrael, ambao walikuwa wameanza uvamizi wa Gaza Polepole ,hivi sasa wameanza kupinga hatua kubwa. Wanajeshi wao 17 wameuawa katika vita,na…
NYOTA WETU.
Mmiliki wa mtandao wa X,SpaceX, na Tesla Elon Musk ameonekana kuonyesha wasiw.asi wake juu ya matumizi ya Akili Bandia (Artifical Intelligence (AI)) .
Mapema mwaka huu Musk alionya kuwa teknolojia hiyo inaweza kuleta uharibifu wa ustaarabu.
Bilionea huyo yuko nchini Uingereza kwenye mkutano mkubwa wa AI uliokutanisha mabosi wa teknolojia na Viongozi kutoka pande mbalimbali za Dunia.
Akizungumza na shirika la habari la Sky News ,Musk aliulizwa kama bado anafikiria teknolojia hiyo ni tishio kwa binadamu, naye alijibu kuwa “ni hatari”.
(more…)HABARI KUU Jeshi la Polisi Mkoa wa Mbeya limesema limeanzisha operesheni maalum ya kuwasaka wanafunzi wa kike wanaojiuza vyuoni. Pia, wanaojihusisha na mapenzi ya jinsia moja kwenye kumbi za starehe…
NYOTA WETU. Msanii wa Nigeria Burna Boy amefunguka baada ya kugoma kwenda Dubai kufanya onesho ambalo angelipwa mamilioni ya dola zaidi ya milioni 5 baada ya kukosa kibali cha kuvuta…