RADJA NAINGGOLAN AFUNGUKA KUIKATAA CHELSEA NA JUVENTUS
Michezo Nyota wa Zamani wa AS Roma aliyewahi kutakiwa sana na Chelsea, Radja Nainggolan; "Kama ningekuwa ninafikiria kuhusu pesa basi ningekuwa na maisha ya soka tofauti na niliyonayo kwasasa. Lakini…