FELICIEN KABUGA AACHILIWA HURU
Habari Kuu. Rwanda iliamua kwamba inashikilia uamuzi wa kusimamisha kesi ya Felicien Kabuga kwa muda usiojulikana na kwamba ataachiliwa kwa muda na kuweka masharti ya kile kitakachofanyika. Mwezi Machi mwaka…
Habari Kuu. Rwanda iliamua kwamba inashikilia uamuzi wa kusimamisha kesi ya Felicien Kabuga kwa muda usiojulikana na kwamba ataachiliwa kwa muda na kuweka masharti ya kile kitakachofanyika. Mwezi Machi mwaka…
Habari Kuu Kwa karibu mwezi mzima ,kituo cha E kinachorusha matangazo yake kwa radio, TV na mitandao ya kijamii kimekuwa na kampeini ya "Hii Huijui" lengo likiwa ni kuvuta hisia…
Magazeti Habari kuu leo ni Rais Samia Suluhu Hassan kufafanua kuhusu mapendekezo ya rasmu ya katiba. Karibu magazeti yote yana habari hii ya Rais Samia Suluhu Hassan. MAGAZETI YA LEO…
Michezo Msanii wa muziki na filamu Nchini Marekani, Selena Gomez ametangaza waziwazi kuwa anavutiwa na Msanii wa muziki wa Nigeria Rema. Gomez alisema alikuwa shabiki wa Msanii huyo wa lebo…
Michezo RONALDO amesema kuwa yeye na Messi sio marafiki bali ni watu waliofanya kazi pamoja huku akidai kuwa na sasa wawili hao kila mmoja amefuata njia yake. "Amefuata njia yake…
Michezo Timu ya Taifa ya Tanzania "Taifa stars" imeandika rekodi nyingine ya kufuzu kucheza michuano ya Afrika kwa mara ya tatu baada ya kuilazimisha sare ya timu ya ALGERIA ya…
Makala Fupi Kilio cha wengi walio kwenye mahusiano ni kuhisi wanasalitiwa na wapenzi wao waliotokea kuwaamini haswa.Wapo ambao si tu kwamba wanahisi bali wanawakamata kila uchao wapenzi wao licha ya…
Michezo Nyota wa Zamani wa AS Roma aliyewahi kutakiwa sana na Chelsea, Radja Nainggolan; "Kama ningekuwa ninafikiria kuhusu pesa basi ningekuwa na maisha ya soka tofauti na niliyonayo kwasasa. Lakini…
Habari Kuu Waziri wa Fedha ,Dkt .Mwigulu Nchemba ,ameiomba Benki Ya Dunia kuharakisha upatikanaji wa Dola za Marekani zaidi ya Milioni 500 ifikapo Novemba 2023 ili zisaidie kukabiliana na uhaba…
Makala Fupi Mapenzi yananoga wivu unapokuwa ndani yake. Ukitathimini kwa harakaharaka ,unaweza kusema kama hakuna wivu ,hakuna mapenzi. Inapotokea mpenzi wako, hata ufanye nini hakuonei wivu,bila Shaka hata wewe utahisi…