VAN GAAL AIBUA SIRI NZITO KWENYE KOMBE LA DUNIA
Michezo Aliyekuwa kocha wa Timu ya Taifa ya Uholanzi , Louis Van Gaal amesema kuwa Argentina ilisaidiwa kutwaa kombe la Dunia la FIFA ,mwaka 2022. Van Gaal alisema kuwa "sitaki…
Michezo Aliyekuwa kocha wa Timu ya Taifa ya Uholanzi , Louis Van Gaal amesema kuwa Argentina ilisaidiwa kutwaa kombe la Dunia la FIFA ,mwaka 2022. Van Gaal alisema kuwa "sitaki…
Michezo Chama cha soka England (FA) kinatazamia kumpa kandarasi Mkufunzi wa Manchester City Pep Guardiola kuwa kocha Mkuu wa England baada ya boss wa sasa Gareth Southgate. Imeripotiwa kuwa viongozi…
Habari Kuu. Serikali ya India chini ya Waziri Mkuu Narendra Modi imebadilisha jina la India na kuipa Nchi hiyo jina la "Bharat" katika kadi za mialiko ya chakula cha jioni…
Michezo. Baada ya mkanganyiko uliotokea baina ya timu ya Yanga na beki wao Gift Fredy kuhusu kama ni kweli aliitwa timu ya Taifa ya Uganda au la sasa imebainika. "Inawezekana…
Michezo. Mwaka 2019 ,Rapa na Mwigizaji wa Marekani, Curtis James Jackson III kwa jina maarufu 50 cent,alinukuliwa kwa andiko lake akisema "kwasasa #ChrisBrown ni bora kuliko Michael Jackson ". Tweet,…
Makala Fupi Ali Bongo Ondimba ,mtoto wa Omar Bongo,ambaye alikuwa Rais wa Gabon kuanzia mwaka 1967 hadi kifo chake mwaka 2009. Ni mtu mashuhuri aliyeongoza kuzungumziwa zaidi mitandaoni Afrika. Kwa…
Makala Kwa mujibu wa utafiti wa Taasisi ya American Lung Association (ALA),vijana wenye kati ya miaka 18 hadi 24 Duniani wanazidi kuingia katika Matumizi ya "shisha" licha ya kilevi hicho…
London Winga #JadonSancho amedai sio kweli kuwa amekuwa hapati nafasi ya kucheza kwenye kikosi cha #ManchesterUnited kwasababu hajaonesha kiwango kizuri kama kocha wake, Erick Ten Hag alivyonukuliwa,bali hivyo ni visingizio…
Dar es salaam Waziri wa Kilimo wa Tanzania Hussein Bashe amesema sio kweli kwamba zao la Vanilla linauzwa kwa kilo Tsh .mil 1.5 ambapo amesema taarifa hizo ni za uongo…
London Wamiliki hao wa klabu hiyo ya England wanatarajiwa kufuta mpango wa kuuza timu hiyo wakidai kuwa wawekezaji hawajafikia kiwango cha bei ambacho wanakitaka hili kuiachia klabu,ambapo wao wanataka Pauni…