0:00
Mbeya.
Wakili Boniface Mwabukusi na Mwanachama wa CHADEMA Mpaluka Nyagali (Mdude) wameachiwa kwa dhamana baada ya kushikiliwa na Jeshi la Polisi Mbeya kwa siku kadhaa tangu walipokamatwa Mkoani Morogoro.
Philip Mwakilima ambaye ni Wakili wa Mwambukusi na Mdude,amesema watuhumiwa hao wawili wamebadilishiwa mashtaka kutoka Uhaini kuwa uchochezi na watatakiwa kuripoti tena kituo cha polisi Agosti 21,2023.
Wakati huo huo .Balozi Dkt Slaa ameachiwa kwa dhamana ni baada ya wakili Dickson Matata kunukuliwa akisema Balozi Dkt Willibrod Slaa amefikishwa katika kituo cha polisi cha Oysterbay Jijini Dar es salaam akitokea Mbeya alipokuwa anashikiliwa na jeshi la polisi kisha kutakiwa kufanyika kwa mchakato wa dhamana.
Related Posts 📫
MICHEZO
Uongozi wa Klabu ya Bayern Munich inafirikia kumng’oa Kiungo...
SPORTS.
Chelsea is now at quarterfinal of Carabao cup after...
BENGALURU, -
New Zealand's first victory in India for 36...
The family of detained leader of the Indigenous People of...