(Click on the star on form card to select)
POLISI WAELEZA KUWASHIKILIA MWABUKUSI NA MDUDE
Dar es salaam. Jeshi la Polisi Makao Makuu,Dar es salaam, limetoa taarifa kuwa limewakamata na kuwashikilia Boniface Mwabukusi na Mpaluka Nyagali alimaarufu Mdude kwa tuhuma za kutoa maneno ya uchochezi.…