SABABU YA WANAOPANGA KUZEEKA MAPEMA

0:00

HABARI KUU

Utafiti wa chuo kikuu cha Essex cha England na chuo kikuu cha Adelaide cha Australia umebainisha kupanga nyumba kunaweza kumsababisha mtu kuzeeka haraka tofauti na mtu anaemiliki nyumba yake mwenyewe.

Njia hiyo imeonekana kuwa na athari zaidi ya kuvuta sigara na ukosefu wa ajira ambayo mwanzoni ilikuwa ikitajwa hao ndio mambo yanayohusisha uzee.

Imeelezwa matukio kama kudaiwa kodi mara kwa mara,kupangisha nyumba zenye gharama kubwa,zilizo karibu na maeneo yenye viwango vya juu vya uchafuzi wa mazingira au zilizo katika mazingira yenye usumbufu mwingi zinasababisha msongo wa mawazo na kuzeeka upesi.

Utafiti umetumia taarifa za watu 1420 na kuchapishwa kwenye jarida la “Epidemiology “.

Mujuni Henry
Author: Mujuni Henry

JUNIITV

Related Posts 📫

SUALA LA PACOME NA CAREN SIMBA LIKO...
NYOTA WETU Mrembo Caren Simba amejikuta kwenye wakati mgumu wa...
Read more
Klabu ya Singida Black Stars (zamani Ihefu...
Patrick Aussems ni Kocha mwenye leseni ya UEFA PRO na...
Read more
UHUSIANO WA TIBA ZA SOKWE NA BINADAMU...
Imegundulika kwamba sokwe hula miti ambayo ina uwezo wa kutuliza...
Read more
MCHEZAJI WA KLABU YA AL AHLY AHUKUMIWA...
Mchezaji nyota wa Al Ahly Hussein El-Shahat amehukumiwa kifungo cha...
Read more
WATU WATATU WANAOTIKISWA NA UWEPO WA PAUL...
MASTORI MAKONDA NA NAPE Machi 22,2017. Kamati iliyoundwa na aliyekuwa Waziri...
Read more

Discover more from JUNIITV.ONLINE

Subscribe to get the latest posts sent to your email.

See also  Kwanini Rais Vladimir Putin hawezi Kupigwa Risasi kama Alivyopigwa Donald Trump ?

Leave a Reply