MICHEZO
Related Content
Related Content
Nyota wa zamani wa vilabu mbalimbali Duniani, Alexander Song amestaafu rasmi akiwa na umri wa miaka 36.
Mchezaji huyo raia wa Cameroon amevitumikia vilabu vya Arsenal, Barcelona na pia amekuwa Mchezaji wa muda mrefu wa timu ya Taifa ya Cameroon.

Kabla ya kustaafu, Alex Song alikuwa akiwatumikia miamba ya Djibouti Arta Sola 7 inayomilikiwa na Makamu wa Rais wa nchi hiyo.