WAKATOLIKI WAZUIWA KUJIUNGA FREEMASON

0:00

HABARI KUU

Waraka mpya uliotiwa saini na Papa Francis, umesema mafundisho ya Ukatoliki na uanachama wa Freemason hayawezi kuendana .

Barua hiyo iliotolewa na ofisi ya mafundisho ya Vatican ilinukuu tamko lililotolewa miaka 40 iliopita ,likisema kwamba Wakatoliki waliojiunga na chama cha Freemason hawaruhusiwi kushiriki katika ekaristi takatifu.

Uamuzi huo wa huvi karibuni unaonekana kumjibu Askofu kutoka Ufilipino ambaye alionyesha wasiwasi wake juu ya kuongezeka kwa idadi kubwa ya washiriki kwenye jimbo lake kujiunga na Freemason.

Barua hiyo kuhusu Freemason ilinukuu barua au tamko la mwaka 1983 ,lililoitwa saini na Papa Benedicto XVI ,wakati huo mkuu wa mafundisho ya Vatican, likisema kwamba Wakatoliki:-

“Katika vyama vya Kimasoniki wako katika hali ya dhambi kubwa na huenda wasipate ushirika Mtakatifu “.

Mujuni Henry
Author: Mujuni Henry

JUNIITV

Related Posts 📫

LOWASSA AACHA VILIO ARUSHA ...
MAGAZETI Karibu Mtanzania popote pale ulipo kwenye asubuhi ya leo...
Read more
Girona coach laments lack of depth after...
Girona have to cope with the absence of injured key...
Read more
HESABU ZA AZAM FC ZIKO HIVI ZA...
MICHEZO Kocha Mkuu wa Azam FC, Youssouph Dabo ameweka wazi...
Read more
YUNG MIAMI AINGIZWA KWENYE SAKATA LA KUMBEBEA...
NYOTA WETU Rapa wa Marekani Yung Miami anatuhumiwa kwa kumbebea...
Read more
Kwanini Joe Biden ana uhakika wa Kumshinda...
Rais wa Marekani, Joe Biden amewatoa wasiwasi wafuasi wa chama...
Read more

Discover more from JUNIITV.ONLINE

Subscribe to get the latest posts sent to your email.

See also  MWALIMU ALIYETOA ADHABU YA KUZIBUA VYOO HATIANI

Leave a Reply