AUCHO AADHIBIWA KWA KOSA LA KUPIGA
0:00
MICHEZO
Kiungo wa klabu ya Yanga, Khalid Aucho raia wa Uganda amefungiwa michezo mitatu na kutozwa faini ya shilingi laki tano 500,000/ kwa kosa la kumpiga kiwiko Mshambuliaji wa timu ya Coastal Union, Ibrahim Ajib katika mchezo wa Yanga dhidi ya Wagosi wa Kaya hao Coastal Union mchezo wa ligi kuu bara kwenye uwanja wa Mkwakwani, Tanga . Katika mchezo huo ambapo Yanga waliibuka kidedea kwa ushindi wa goli 1-0 likifungwa na Clement Mzinze.
Discover more from JUNIITV.ONLINE
Subscribe to get the latest posts sent to your email.