HABARI KUU.
Related Content
Mke wa Rais wa zamani wa Marekani Jimmy Carter, Bi. Rosalyn Carter (96) amefariki Dunia.

Bi. Rosalyn Carter alifariki kwa amani akiwa amezungukwa na wanafamilia nyumbani kwao katika jimbo la Georgia.
Siku chache bibi huyu aliungana na mume wake katika kupatiwa huduma za mwisho wa maisha nyumbani kwao.

Related News 
Lawrence Daniels, the brother of Nollywood sensation Regina Daniels, appears...
A string of four birdies over five holes to open...