HALI YA KIAFYA YA PAPA FRANCISCO IPO MASHAKANI

0:00

NYOTA WETU

Hali ya kiongozi wa kanisa Katoliki Duniani Papa Francis bado si nzuri kwani jana alilazimika kumuomba msaidizi wake kusoma hotuba katika hadhira yake ambayo ufanyika kila jumatano Vatican.

Wakati akitoa maoni ya mwisho Papa Francis alikuwa akitaabika kusema huku akikohoa.

Wakati wa ujana kiongozi huyo alikatwa sehemu ya pafu lake moja na sasa anasumbuliwa na kuvimba kwa njia ya upumuaji.

Kwa ushauri wa Madaktari, Papa Francis ameahirisha safari ya kwenda Dubai wikiendi ijayo kuhudhuria kongamano la COP28 linalohusu mabadiliko ya tabia ya nchi.

Kwa mujibu wa makao makuu ya Kanisa katoliki yaliyopo Vatican, hali yake inaendelea vizuri ,hata hivyo yeye amekiri kuwa hali yake ya kiafya imetetereka.

Mujuni Henry
Author: Mujuni Henry

JUNIITV

Related Posts 📫

Video of Bobrisky showcasing his transformed body...
Nigerian crossdresser and socialite Bobrisky, also recognized as Idris Okuneye...
Read more
Sababu za Kujifungua Mtoto Mwenye Uzito Pungufu
USIVUTE SIGARA WAKATI WA UJAUZITO SABABU ZA KUZAA MTOTO MWENYE UZITO...
Read more
WANAUME WENYE MIAKA 50 WAONGOZA KUWA WAATHIRIKA...
Tume ya Kudhibiti Ukimwi Tanzania (TACAIDS) imebainisha kuwa WANAUME wenye...
Read more
FISTON MAYELE AFUNGUKA MAZITO BAADA YA KUONDOKA...
NYOTA WETU Mshambuliaji wa Pyramids FC ya Misri, Fiston Mayele...
Read more
RASHFORD APIGWA NA MPENZI WAKE HOTELINI
NYOTA WETU Marcus Rashford wa Manchester United alizozana na mpenzi...
Read more

Discover more from JUNIITV.ONLINE

Subscribe to get the latest posts sent to your email.

See also  MACKY SALLY ATANGAZA SIKU YA UCHAGUZI SENEGAL

Leave a Reply