MAJALIWA ATAJA ALIPO MAKAMU WA RAIS PHILIPO MPANGO

0:00

HABARI KUU

Kaimu wa Rais ambaye pia ni Waziri Mkuu wa Tanzania, Majaliwa Kasim Majaliwa amewahakikishia watanzania kuwa Makamu wa Rais Dkt. Philip Isdor Mpango ni mzima wa afya na yupo ziara ya kikazi nje ya nchi.

Majaliwa ambaye kwasasa anakaimu nafasi ya Urais baada ya Rais Samia Suluhu Hassan kuwa nje ya nchi akihudhuria mkutano wa uhifadhi wa mazingira unaofanyika Dubai kwenye falme za kiarabu na Makamu wa Rais Dkt. Philip Isdor Mpango kuwa nje ya nchi kikazi kwa mujibu wa Majaliwa Kasim Majaliwa, amenukuliwa na gazeti la Nipashe kuwa Watanzania wasiwe na wasiwasi wowote kwa kuwa Makamu wa Rais yupo ziarani kikazi nje ya nchi. Pamoja na kauli hiyo,Mhe. Majaliwa Kasim Majaliwa akuitaja nchi aliyopo Makamu wa Rais.

Ikumbukwe mara ya mwisho Mheshimiwa Makamu wa Rais Dkt. Philip Isdor Mpango kuonekana ilikuwa mwezi Oktoba.

Mujuni Henry
Author: Mujuni Henry

JUNIITV

Related Posts 📫

Mamelodi yampa thank you kocha Rhulani Mokwena
Mamelodi Sundowns na Kocha Mkuu, Rhulani Mokwena wamefikia makubaliano ya...
Read more
ULEVI KWA VIJANA KILIMANJARO WAWATISHA VIONGOZI
HABARI KUU Akizungumza kwenye mkutano mkuu wa mwisho wa mwaka...
Read more
Watch "live: Young Africans vs ASAS Djibouti"...
https://www.youtube.com/live/DoPI0hHNuuQ?feature=share
Read more
WAZIRI DOROTHY ATOA MBINU YA KUDHIBITI UNYANYASAJI...
HABARI KUU Waziri wa Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wanawake na...
Read more
"I ADDED THE WEIGHT FOR A MOVIE...
OUR STAR 🌟 Actress and presenter, Nancy Isime, opens up...
Read more

Discover more from JUNIITV.ONLINE

Subscribe to get the latest posts sent to your email.

See also  𝗪𝗔𝗜𝗦𝗥𝗔𝗘𝗟𝗜 𝗪𝗔𝗔𝗡𝗗𝗔𝗠𝗔𝗡𝗔 𝗞𝗨𝗦𝗛𝗜𝗡𝗜𝗞𝗜𝗭𝗔 𝗠𝗔𝗧𝗘𝗞𝗔 𝗞𝗨𝗔𝗖𝗛𝗜𝗟𝗜𝗪𝗔 𝗛𝗨𝗥UMakumi kwa maelfu ya Waisraeli wameandamana mjini Jerusalem,wakitaka juhudi ziongezwe kuwaachilia huru mateka wanaoshikiliwa huko Gaza na kuondolewa kwa Waziri Mkuu Benjamin Netanyahu. Siku ya jumapili Waandamanaji walifunga barabara kuu ya jiji, licha ya hapo awali kufanya maandamano mbele ya bunge la Israel, kuwasha moto na kupeperusha bendera ya taifa.

Leave a Reply