FORBES YAMTAJA RAIS SAMIA KWENYE WATU WENYE USHAWISHI DiscoverCars.com

0:00

NYOTA WETU.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan, ametajwa kuwa miongoni mwa wanawake 100 wenye ushawishi walioorodheshwa katika jarida la Forbes la wanawake wenye uwezo mkubwa Duniani 2023 ,akipanda nafasi mbili kutoka 95 mpaka 93.

Kwa mujibu wa jarida hilo, safari hii ameingia tena kwenye orodha hiyo akiwa Mwanamke kutokea Africa kuhutubia Baraza la umoja wa Mataifa mnamo mwaka 2021 ,alikuwa mwanamke kiongozi wa tano wa kiafrika kuhutubia Baraza kuu la umoja wa Mataifa. Pia alitumia ushawishi wake kwa kuikosoa Dunia kwa jinsi chanjo ya Covid ilivyokosa usawa.

Dkt. Samia Suluhu Hassan amejitofautisha Duniani kwa aina ya uongozi wake na mtangulizi wake kwa kufuata itifaki zote za Covid ,ikiwepo kuwapa kalantini wageni wanaotoka nchi zenye janga la Covid.

Rais Samia Suluhu Hassan, amekuza mahusiano ya kimataifa na kidplomasia jambo ambalo mpaka sasa limeleta mafanikio makubwa kwa nchi ya Tanzania kutembelewa na marais wa nchi nyingi katika muda mfupi wa uongozi wake.

Mujuni Henry
Author: Mujuni Henry

JUNIITV

Related Posts 📫

BASSIROU DIOMAYE FAYE AMTEUA OUSMANE KUWA WAZIRI...
HABARI KUU Rais mpya wa Senegal, Bassirou Diomaye Faye amemteua...
Read more
MABEL MAKUN BREAKS SILENCE AFTER HER MARRIAGE...
CELEBRITIES Marriage crash: Mabel Makun BREAKS silence..Comedian AY Makun’s wife,...
Read more
MKE WA RAIS WA MAREKANI AFARIKI DUNIA...
HABARI KUU. Mke wa Rais wa zamani wa Marekani Jimmy...
Read more
WATU SITA WAKAMATWA MAUAJI YA RAPA A.K.A
MICHEZO Jeshi la Polisi Afrika Kusini limekamata watuhumiwa sita wa...
Read more
SABABU JOSEPH SELASINI KUMLIPA JAMES MBATIA MILIONI...
HABARI KUU Aliyekuwa Mwenyekiti wa NCCR Mageuzi, James Mbatia ameshinda...
Read more
See also  MAKAMBA AKANUSHA UWEPO WA NOTI YA FEDHA YA JUMUIYA YA AFRIKA MASHARIKI

Leave a Reply