MDEE NA WENZAKE BADO BADO CHADEMADiscoverCars.com

0:00

HABARI KUU

Mahakama kuu imetengua uamuzi wa Baraza Kuu La CHADEMA lililoidhinisha uamuzi wa kamati kuu ya Chama hicho uliowavua uanachama Halima Mdee na wenzake 18.

Jaji Cyprian Mkeha amesema kitendo cha wajumbe wa kamati kuu kuwa wajumbe wa Baraza Kuu na kutoa uamuzi wa rufaa ni kinyume na kanuni za asili. Pia, Mahakama imeiamuru CHADEMA kuzingatia haki wakati ikishughulika na jambo hili.

Halima Mdee n wenzake 18 walifungua kesi Mahakamani kupinga kuvuliwa uanachama Mei 11,2022 na Baraza Kuu La CHADEMA.

Mujuni Henry
Author: Mujuni Henry

JUNIITV

Related Posts 📫

LUIS DIAS APATWA NA MKASA MZITO ...
MICHEZO Ripoti kutokea Colombia zinaeleza kuwa wazazi wa Mshambuliaji wa...
Read more
JENERALI BIAGOLO ASIMAMISHWA KAZI KISA MKE WAKE
NYOTA WETU Jenerali Biagolo amesimamishwa katika jeshi la DRC baada...
Read more
POCHETTINO AFUNGUKA BAADA YA USHINDI DHIDI YA...
MASTORI Kocha MP akizungumza baada ya mchezo wake na Brighton: "Hii...
Read more
MAGAZETI YA LEO 30 MEI 2024
Karibu Mtanzania popote pale ulipo kwenye asubuhi ya leo kwenye...
Read more
MWAMUZI MWEUSI AONEKANA LIGI KUU YA ENGLAND
MICHEZO. Ligi kuu ya England haijawahi kuwa na mwamuzi mweusi...
Read more

Discover more from JUNIITV.ONLINE

Subscribe to get the latest posts sent to your email.

See also  KWANINI HAMAS HAITAKI KUPIGANA NA ISRAEL MOJA KWA MOJA

Leave a Reply