HAWA NDIO WATU WANAOINGIZA PESA NDEFU AFRIKA

0:00

HABARI KUU

Naibu wa Rais wa Kenya, Rigathi Gachagua amewataka Wakenya wanaoishi nje ya nchi hiyo kuweka akiba na kuwekeza nchini mwao na sio katika mabenki ya kigeni au masoko.

Alizungumza wakati wa kufunga kongamano la siku tatu la uwekezaji wa Diaspora katika kituo cha kimataifa cha Mikutano cha (KICC) jijini Nairobi, Gachagua alisema Diaspora ndio inayoongoza kuingiza fedha za kigeni zaidi nchini Kenya 🇰🇪 zaidi ya hata sekta za utalii,kahawa na chai.

“Usije mwenyewe, hatukuhitaji kwasasa. Tunataka hubaki huko , lakini utume pesa nyumbani. Utakuja nyumbani hatimaye,lakini si sasa.

Nyinyi ndio watu wenye pesa, na mimi na Rais tunazihitaji ,na hata msipozileta tutakuja kuzichukua huko mlipo”.
Mujuni Henry
Author: Mujuni Henry

JUNIITV

Related Posts 📫

RWANDA KUONGOZA UKUAJI UCHUMI KWA AFRIKA MASHARIKI...
MAKALA Ripoti ya Ukuaji wa Uchumi iliyotolewa na Benki ya Maendeleo...
Read more
MAURIZIO SARRI AJUTIA HILI
MICHEZO Kocha wa zamani wa Chelsea MAURIZIO SARRI amesema:- "Ndani ya...
Read more
MAHAKAMA KUU YA KENYA IMESITISHA AZIMIO LA...
Mahakama kuu imesitisha azimio la Bunge la seneti la kuunga...
Read more
50 CENT BADO ANAMSHAMBULIA MICHAEL JACKSON ...
Michezo. Mwaka 2019 ,Rapa na Mwigizaji wa Marekani, Curtis James Jackson...
Read more
Ederson Moraes yuko mbioni kuiacha Manchester City
MICHEZO Mlinda Lango wa Mabingwa wa Soka nchini England Manchester...
Read more

Discover more from JUNIITV.ONLINE

Subscribe to get the latest posts sent to your email.

See also  ISLAMIC STATE YAHUSIKA KWENYE VIFO VYA WATU 115 URUSI

Leave a Reply