0:00
HABARI KUU
Mkuu wa kundi la wapiganaji wa HAMAS amewasili kwenye mji wa Cairo kukutana na mkuu wa kijasusi wa Misri , Ismail Haniyeh kwa kawaida anakaa Qatar, lakini ziara yake katika mji mkuu wa Misri ni ishara ya hivi karibuni ya kuwepo mazungumzo.
Misri,pamoja na Qatar, zilisaidia kuwepo kwa muafaka wa mapatano mnamo mwezi Novemba, 2023 ambayo yalidumu kwa wiki moja na kusaidia baadhi ya mateka kuachiliwa huru na baadhi ya wafungwa wa Kipalestina wakiachiwa.
Rais wa Misri, Abdel Fattah amesema nchi yake iko tayari kwa mazungumzo mengine ya kibinadamu huko Gaza ili kuwezesha kuachiliwa kwa mateka.
Baraza la usalama la umoja wa Mataifa linatarajia kupiga kura ili kuweka azimio lililoairishwa la kutaka kusitishwa kwa mapigano.
Related Posts 📫
MICHEZO
Waziri wa mambo ya ndani wa Ufaransa ,Gerald Damarnin...
Ipupa Nsimba aka Fally Ipupa aka "DiCaprio" aka "La Merveille"born...
The residents of Mandera East constituency have expressed their heartfelt...
MAGAZETI
Karibu Mtanzania popote pale ulipo kwenye asubuhi ya leo...
Mwanamke Kukosa Ute Wa Mimba
Ute Wa Mimba:🔳Ute wa mimba ni...