MAMBO 4 YANAYOHARIBU MAHUSIANO

0:00

MASTORI.

Waafrika wana msemo maarufu ” adui wa mtu ni wa nyumbani mwake”. Ni msemo maarufu wenye maana hasa kubwa hata kwenye mahusiano yako.

MAMBO MANNE YANAYOHARIBU MAHUSIANO.

1. Kushutumu mtu wako wa karibu kwa lawama,kumpakazia mtu ambacho hajafanya,na hata kutungu uongo juu yake.

2. Kuwa mtu wa kujiona bora na ambaye hutaki kuonekana mwenye kosa na ukikosolewa unakataa yaani kwa ufupi wewe unajiona mkamilifu.

3. Kumpa mtu majina yanayokera

4. Kupenda kukaa na mambo mazito moyoni badala ya kuyaweka hadharani yatatuliwe. Mtu anaweza kukuogopa kwa kuhofia ipo siku utalipa kisasi.

Loading

Mujuni Henry
Author: Mujuni Henry

JUNIITV

Related Posts 📫

USIPOMPELEKA MTOTO SHULE UNAFUNGWA ...
HABARI KUU. Bunge la Afrika Kusini limepitisha muswada mkubwa wa elimu...
Read more
U.S. Embassy Urges Kenyan Police and Protesters...
The United States Embassy in Kenya has called on both...
Read more
Ivory Coast, Equatorial Guinea book Cup of...
CAPE TOWN, - Holders Ivory Coast and Equatorial Guinea became...
Read more
Djokovic said that he hired Murray as...
BUENOS AIRES, Argentina 🇦🇷 — Hiring Andy Murray as his...
Read more
Arsenal first pre-season friendly is less than...
Mikel Arteta will hope to add to his squad to...
Read more
See also  DIFFERENT FORMS OF HUMAN ABUSE

This Post Has 2 Comments

  1. urist_tiPl

    юридическая помощь бесплатно для всех вопросов о праве|юридическое обслуживание бесплатно на юридические темы
    бесплатная юридическая поддержка для граждан и организаций по различным вопросам законодательства от знающих специалистов|Получи безвозмездную консультирование от квалифицированных юристов по различным проблемам
    Получи бесплатную юридическую консультацию о наследстве
    юристы бесплатные консультации [url=https://www.konsultaciya-yurista-499.ru]https://www.konsultaciya-yurista-499.ru[/url].

Leave a Reply