SIFA SITA ZA MTU MZIMA

0:00

MAPENZI

Mtu mzima wengi humtafakari katika upande wa umri lakini ukweli ni kwamba ,mtu mzima anaonekana kwa matendo yake.

Sasa leo ,hizi ni sifa za mtu mzima aliyekomaa.

1.Sio mtu wa kuongea kila kitu mbele za watu.

Watu wengi hawanaga habari na mambo ya watu wengine na wengine ,kwa usiri mkubwa ukiwaambia mipango yako huwa wanatamani isifanikiwe.

2. Ana machaguo sahihi ya marafiki.

Mwenye ukomavu ana amini kuwa na marafiki sahihi ni mtaji mzuri wa maisha yake.

3. Ni mtu wa kushukru.

Mtu mkomavu anaibeba kanuni hii kwasababu anajua shukrani kwenye maisha ina mchango mkubwa wa mafanikio.

4. Ni mtu wa kujituma.

Mtu mzima hana hulka ya kufanya leo na kufanikiwa leo isipokuwa anaamini katika mchakato . Anajua fika kwenye kujituma ndipo bahati huwa zinakuja.

5. Ni mtu wa kiasi kwenye mambo yake.

Sio mtu wa kuingilia mambo ya wengine kwani kufanya hivyo ,anafahamu fika ni kujiingiza kwenye matatizo.

6. Sio mtu wa hasira.

Unapoweza kujizuia hasira basi hakuna mtu anaweza kukuendesha.

Loading

Mujuni Henry
Author: Mujuni Henry

JUNIITV

Related Posts 📫

AISHA MASAKA MTOTO WA KIMASIKINI NA HADITHI...
Kuna ugumu wa maisha ya Kitanzania alafu kuna ugumu wa...
Read more
Kosovo-Romania match abandoned after players walk off...
BUCHAREST, - A Nations League match between Romania and Kosovo...
Read more
Ghana football can be reshaped with hard...
The list of former Ghanaian international who are having sleepless...
Read more
22 WAYS ON HOW TO LOVE ...
LOVE ❤ 1. Harden his penis, don't make his life...
Read more
SERIKALI YAAGIZA MAMLAKA ZOTE KUHUSU UVUNAJI MAJI
HABARI KUU
See also  WHAT IT MEANS TO BE ROMANTIC
Serikali imeziagiza Mamlaka za Maji kushirikiana na Halmashauri...
Read more

Leave a Reply