MWANAUME AWAPA WANAWAKE WATANO UJAUZITO KWA MARA MOJA

0:00

NYOTA WETU.

Lizzyash Ashliegh ,ambaye ni chanzo cha kusambaa kwa video kwenye mitandao ya kijamii akieleza yeye na wenzake wanne walipewa ujauzito kwa mara moja na Mwanamziki wa Marekani ,Zeddy Will ,ameibuka kukanusha.

Kupitia mtandao wa TikTok, Lizzyash, amesema sio kweli ana mimba bali walikuwa wanatayarisha video.

Lizzyash, amesema hayo, taarifa zake za awali kuhusu yeye na wenzake wanne kuandaliwa sherehe kabla ya mtoto kuzaliwa zimeendelea kuonekana kwenye tovuti mbalimbali za mitandao mikubwa Duniani.

“Usiamini kile kinachoonekana kwenye mitandao ya kijamii, hii imesambaa sana. Makala za runinga za habari zinazopatikana kwa waandishi feki,mimi sio mjamzito ,hii ilikuwa kwaajili ya video ya muziki ambayo sikuwa na uwezo wa kuisemea.

Lizzyash ameandika kwenye mtandao wa kijamii wa Instagram.

Lizzyash Ashliegh, ndiye aliyechapisha video hiyo kwenye mtandao wa TikTok akiweka wazi juu ya sherehe hiyo iliofanyika Januari 14,2024.

Mwaliko wa sherehe hiyo uliambatana na maneno yaliyosomeka “Welcome Little Zeddy Wills 1-5”.

Wanawake wengine waliopewa ujauzito na Mwanamziki huyo mwenye umri wa miaka 22 ni Bonnie B, Jylene Vila, Kay Marie,na Iyania kalifa Gallieti.

Kutokana na sherehe hiyo, kwenye mitandao ya kijamii imekuwa gumzo huku watu wakijiuliza aliwezaje kuwaunganisha na kufanya sherehe hiyo moja?

Loading

Mujuni Henry
Author: Mujuni Henry

JUNIITV

Related Posts 📫

Zverev into ATP Finals semis after straight...
TURIN, Italy, 🇮🇹 - Twice ATP Finals champion Alexander Zverev...
Read more
Moroccan coach Lamia Boumehdi leads TP Mazembe...
Moroccan coach Lamia Boumehdi has guided TP Mazembe to their...
Read more
"Anguka Nayo": How a Party Anthem Became...
Kenyan rap duo Wadagliz likely didn't anticipate the viral sensation...
Read more
RAINFORD KALABA AFARIKI DUNIA KWENYE AJALI YA...
NYOTA WETU
See also  Man United’s Mason Mount sustains latest injury and is substituted after 14 minutes against Man City
Kiungo mshambuliaji wa TP Mazembe na timu ya...
Read more
HOW TO WIN YOUR PARTNER'S HEART ...
❤ Simple Secrets of couples that last: They know how to...
Read more

Leave a Reply