HABARI KUU
Ikiwa leo ni Januari 24,2o24 ,Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kimepanga kufanya maandamano ya amani.
Hoja za CHADEMA kuandamana leo ni pamoja na;
1. WAFUNGWA RAIA WA TANZANIA WAWE NA HAKI YA KUPIGA KURA
2. MAAMUZI YA TUME YA UCHAGUZI KUHOJIWA MAHAKAMANI
3. KATIBA YA TANZANIA IREKEBISHWE ILI KURUHUSU TUME HURU YA UCHAGUZI
4. KUWE NA MGOMBEA BINAFSI WA UBUNGE ASIYETOKANA NA CHAMA CHOCHOTE
5. MGOMBEA URAIS ATATANGAZWA KUWA RAIS KWA KUPATA KURA 50% +1 YA KURA NA SIO WINGI WA KURA
6. SERIKALI IWASILISHE BUNGENI MUSWADA WA KUKWAMUA MCHAKATO WA KATIBA MPYA
7. TUME YA UCHAGUZI IPEWE MAMLAKA YA KUSIMAMIA UCHAGUZI WA SERIKALI ZA MITAA
8. KATIBA YA TANZANIA IREKEBISHWE KURUHUSU MGOMBEA BINAFSI WA URAIS
9. MATOKEO YA MGOMBEA URAIS YAOJIWE MAHAKAMANI.