KOCHA WA MOROCCO AFUTIWA ADHABU

0:00

MICHEZO

Shirikisho la soka barani Afrika (CAF) limemfutia adhabu zote kocha wa timu ya Taifa ya Morocco, Walid Regragui mara baada ya kuonekana hana hatia.

Regragui alifungiwa michezo minne pamoja na adhabu ya pili ya kufungiwa miezi 12 kutojihusisha na soka ndani na nje ya bara la Afrika.

Adhabu zote zimefutwa na sasa yupo huru na kuendelea na shughuli zake ndani ya timu ya taifa ya Morocco.

Regragui atakuwa kwenye benchi la ufundi la Morocco itakapoikabili Jamhuri ya Afrika Kusini kwenye mchezo wa hatua ya 16 bora ya siku ya Jumanne Januari 30,2024.

Mujuni Henry
Author: Mujuni Henry

JUNIITV

Related Posts 📫

Kurasa za Magazeti ya leo
Read more
MWANAMZIKI CHEMICAL AFUNGUKA MAISHA YAKE YALIVYO AKIWA...
NYOTA WETU Chemical afunguka jinsi alivyokuwa star chuo alichosoma Prince...
Read more
VENANCE MABEYO AFUNGUKA MAZITO BAADA YA KIFO...
NYOTA WETU Mkuu wa Majeshi Mstaafu, Jenerali Venance Mabeyo amesema...
Read more
How to identify your business competitors ✨✨✨
There are other people doing what you are doing, sometimes...
Read more
POLISI ARUSHA YAWAKAMATA WAHALIFU WA DAWA ZA...
HABARI KUU Jeshi la Polisi mkoani Arusha limesema hali ya...
Read more

Discover more from JUNIITV.ONLINE

Subscribe to get the latest posts sent to your email.

See also  MAX EBERL AMPA OFA YA MWISHO ALPHONSO DAVIES FC BAYERN MUNICH

Leave a Reply