RAIS WA HUNGARY AJIUZULU WADHIFA WAKE

0:00

HABARI KUU

Rais wa Hungary amejiuzulu kutokana na ghadhabu ya raia baada ya kumsamehe mwanaume aliyekutwa na hatia katika kesi ya unyanyasaji wa kingono kwa watoto.

Rais Katalin Novak alikuwa anakabiliwa na shinikizo la kujiuzulu kwasababu ya uamuzi wake wenye utata wa kumsamehe mwanaume ambaye alipatikana na hatia ya kufanya uhalifu wa kingono kwa watoto kwenye nyumba moja.

Mwanamke huyo mwenye umri wa miaka 46 ametangaza ujumbe huo kupitia Televisheni mnamo Jumamosi Februari 10,2024 kwamba amejiuzulu wadhifa wake wa urais ,baada ya kukaa madarakani toka 2022.

Novak alikuwa ni Rais mdogo zaidi kuwahi kuiongoza Jamhuri hiyo ya Hungary.

Mujuni Henry
Author: Mujuni Henry

JUNIITV

Related Posts 📫

Mkuu wa Wilaya Morogoro Rebeca Nsemwa ameagiza...
DC Rebbeca amesema Diwani huyo amejenga vibanda vya kufanyia biashara...
Read more
MFAHAMU ARNE SLOT MRITHI MPYA WA KLOPP...
MICHEZO Uongozi wa Klabu ya Liverpool utakuwa na upinzani mkali...
Read more
MILIONI 300 ZAMBAKISHA KIBU DENIS SIMBA
MAGAZETI Karibu Mtanzania popote pale ulipo kwenye asubuhi ya leo...
Read more
UMMY MWALIMU ATAJA MAFANIKIO YA WIZARA YA...
HABARI KUU Waziri wa Afya, Ummy Mwalimu amesema sekta ya...
Read more
Singer Boypee finally addressed the removal of...
In a bold statement, Nigerian music sensation Boypee has dismissed...
Read more
See also  WHY A CHEATING WOMAN IS MORE DANGEROUS THAN POISON

Leave a Reply