WAZIRI MKUU EDWARD LOWASSA AFARIKI DUNIADiscoverCars.com

0:00

HABARI KUU

Waziri Mkuu mstaafu wa Tanzania, Edward Ngoyai Lowassa mwenye umri wa miaka 70 amefariki Dunia leo Februari 10,2024 katika Taasisi ya Moyo ya Jakaya Kikwete (JKCI), jijini Dar es salaam.

Taarifa ya kifo cha kiongozi huyo wa zamani kimetangazwa leo na Makamu wa Rais Dkt. Philip Isdor Mpango.

Edward Ngoyai Lowassa alikuwa Mwanasiasa wa muda mrefu akiwa pia amelitumikia jeshi la Tanzania na amekuwa Waziri Mkuu wa Tanzania kati ya mwaka 2005 mpaka 2008 alipojiuzulu nafasi hiyo kubwa ya kiserikali.

Bwana Lowassa alikuwa Waziri Mkuu kipindi cha awamu ya Nne chini ya Jakaya Kikwete ambapo baada ya kujiuzulu wadhifa wa Waziri Mkuu, Rais Jakaya Kikwete alimteua Mizengo Kayanza Peter Pinda kuchukuwa nafasi hiyo.

Mujuni Henry
Author: Mujuni Henry

JUNIITV

Related Posts 📫

Businessman Wanjigi Granted Court Protection from Arrest...
The High court in Nairobi Issued a court order on...
Read more
JAPHET MAGANGA AFUKUZWA KAZI CWT
HABARI KUU Baraza kuu la Chama Cha Walimu ( CWT)...
Read more
Deadly Car Bombing Strikes Mogadishu Cafe Packed...
A car bombing at a popular cafe in Somalia's capital...
Read more
WANAJESHI WA ISRAEL WAIVAMIA HOSPITALI YA AL...
HABARI KUU. Jeshi la Israel limefanya operesheni dhidi ya Hamas...
Read more
Kurasa za Magazeti ya leo
Read more

Discover more from JUNIITV.ONLINE

Subscribe to get the latest posts sent to your email.

See also  RAIS SAMIA SULUHU KUWALINDA CHADEMA

Leave a Reply