ROSE WARDINI AJIONDOA KUGOMBEA URAIS WA SENEGAL

0:00

HABARI KUU

Senegal bado ipo katika hali ya sintofahamu baada ya kuahirishwa kwa uchaguzi wa Rais uliokuwa umepangwa kufanyika Februari 25,2024.

Katika hali isiyotegemewa Rose Wardini, aliyekuwa miongoni mwa wagombea 20 amejiondoa kwenye kinyang’anyiro hicho cha Urais uliosogezwa hadi Desemba 2024.

Kwa upande wa wagombea 15 walioidhinishwa kwa Uchaguzi wa urais wanataka Uchaguzi kufanyika kabla ya Aprili 2, tarehe ya kumalizika kwa muda wa muhula wa Rais aliyepo Madarakani.

Miongoni mwa waliosaini waraka wakitaka uchaguzi kufanyika kabla ya tarehe 2,Aprili ni pamoja na Bassirou Diomaye Faye,Khalifa Sall, Thierno Alassane Sall, Malick Gakou na Aly Ngouille .

Mujuni Henry
Author: Mujuni Henry

JUNIITV

Related Posts 📫

Borno South Senator, Ali Ndume on Tuesday...
Ndume said the new office does not reflect his seniority...
Read more
CHIELLINI AMESTAAFU KUCHEZA MPIRA
NYOTA WETU. Beki wa zamani wa Juventus na Timu ya...
Read more
State House Faces Crippling Budget Cuts, Warns...
The State House is now warning that its operations could...
Read more
President Ruto Nominates Beatrice Askul Moe as...
President William Samoei Ruto has nominated Beatrice Askul Moe to...
Read more
MIAKA 25 YA MTANDAO WA GOOGLE FURSA...
Makala Fupi Leo mtandao wa Google umetimiza miaka 25 tangu ulipoanzishwa...
Read more

Discover more from JUNIITV.ONLINE

Subscribe to get the latest posts sent to your email.

See also  AFIA GESTI AKIWA NA MPENZI WAKE

Leave a Reply