STAN BOWLES AFARIKI DUNIA

0:00

HABARI KUU

Nyota wa zamani wa QPR, Manchester City na Timu ya Taifa England, Stan Bowles amefariki dunia akiwa na umri wa miaka 75 baada ya kuugua kwa muda mrefu ugonjwa wa ‘Alzheimer’

Bowles ambaye alikuwa mmoja wa vipaji bora nchini England wakati wake kama mchezaji aligundulika na ugonjwa wa neva mnamo 2015.

Taarifa iliyotolewa kwenye tovuti ya klabu hiyo QPR imesema: “Ni kwa moyo mzito tumegundua kwamba nyota wa QPR Stan Bowles amefariki dunia jioni ya leo (Jumamosi), akiwa na umri wa miaka 75.”

NB: ‘Alzheimer’s’ ni aina ya ugonjwa wa mfumo wa neva ambao kwa kawaida huanza taratibu na hatimaye huathiri kumbukumbu, fikra na tabia.

Mujuni Henry
Author: Mujuni Henry

JUNIITV

Related Posts 📫

TOP FIVE RICHEST COUNTRIES IN THE WORLD
The top 5 richest countries in the world based on...
Read more
NAULI ZA TRENI ZA TRC HIZI HAPA
HABARI KUU Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Reli Tanzania (TRC)...
Read more
Ruto Reshuffles Cabinet Lineup, Duale Moved from...
President William Ruto has amended his initial list of Cabinet...
Read more
How To Start A Successful Goat Farming...
This is the best advice that few farmers tell to...
Read more
SABABU ZA MASHABIKI KUWATUPIA PESA WACHEZAJI WA...
MASTORI Mechi kati ya Borussia Dortmund na Newcastle, usiku wa...
Read more

Discover more from JUNIITV.ONLINE

Subscribe to get the latest posts sent to your email.

See also  Mchekeshaji maarufu aapishwa kuwa Makamu wa Rais wa Malawi

Leave a Reply